Bodi ya Ligi: Tulijua huko CAS Yanga wasingetoboa

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,536
Reaction score
139,845
"Sisi tulishafurahia tangu mwanzo walipoamua kwenda CAS kwasababu tulijua hawatoboi, huwezi kuiondolea haki Bodi ya Ligi katika kuendesha Ligi

Sisi tuna Mungu na tunasimamia haki, hatutaki kumdhurumu mtu"

-Steven Mguto, Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania.
 
Mwenye kiti wa bodi hatakiwi kuwa na vijembe hivyo.
 
"Sisi tulishafurahia tangu mwanzo walipoamua kwenda CAS kwasababu tulijua hawatoboi, huwezi kuiondolea haki Bodi ya Ligi katika kuendesha Ligi

Sisi tuna Mungu na tunasimamia haki, hatutaki kumdhurumu mtu"

-Steven Mguto, Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania.
CAS wanataka hukumu ya kesi, TFF wanayo hukumu?
 
Wanakataa Bodi ya ligi kufanya maamuzi kupitia busara.

Lakini ni busara hizo hizo ambazo zilimuepusha Ally Kamwe na kifungo cha miaka miwili kutokana na makosa ya kujirudia ambayo amekuwa akifanya.
 
"Sisi tulishafurahia tangu mwanzo walipoamua kwenda CAS kwasababu tulijua hawatoboi, huwezi kuiondolea haki Bodi ya Ligi katika kuendesha Ligi

Sisi tuna Mungu na tunasimamia haki, hatutaki kumdhurumu mtu"

-Steven Mguto, Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania.
Hahaha! Tanzania ina vituko!
 
mnarudi vipi sasa tff na bodi ya ligi😎
HATUCHEZI.
MUWE MNATUMIA AKILI
 
"Sisi tulishafurahia tangu mwanzo walipoamua kwenda CAS kwasababu tulijua hawatoboi, huwezi kuiondolea haki Bodi ya Ligi katika kuendesha Ligi

Sisi tuna Mungu na tunasimamia haki, hatutaki kumdhurumu mtu"

-Steven Mguto, Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania.
Yanga wanasubiri hukumu yenu. Badala ya vijembe wangesema wao watatoa lini hiyo hukumu. Yanga aliishapeleka malalamiko, kiburi cha madaraka hamjibu.
 
Derby iko pale pale😎
Marefa wakichezesha kwa haki mechi za viporo na Simba ikadondosha points tatu tu uto derby hatuchezi ili mpewe points tatu za mezani ila ikiwa taiti kwenye points na derby ndo iamue bingwa tutacheza na kuwakanda makolo ila sharti refa atoke Kenya au Burundi
 
"Sisi tulishafurahia tangu mwanzo walipoamua kwenda CAS kwasababu tulijua hawatoboi, huwezi kuiondolea haki Bodi ya Ligi katika kuendesha Ligi

Sisi tuna Mungu na tunasimamia haki, hatutaki kumdhurumu mtu"

-Steven Mguto, Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania.
Hatucheziiiiiiiii...
Hatuchezii
Hatuchezi
Hatuche
Hatu
Ha
Ha
Baada ya muda utasikia
Tu
Tuna
Tunache
Tunacheza
Tunachezaaa
#Tulikuwa tunatania sisi wananchi kwani bodi ya ligi hamtaniwi?
 
OKW BOBAN SUNZU
Wewe jamaa huna akili unavyoinanga tume ya Uchaguzi huko jukwa la siasa inashangaza unavyokuwa na nguvu kuitetea Bodi ya ligi wakati wanayoyanfanya Bodi ya ligi ndivyo wanavyofanya NEC 😃. Bodi ya ligi wanatoa upendeleo wa wazi dhidi ya simba wakati huo NEC wanatoa upendeleo dhidi ya ccm?.
 
Back
Top Bottom