Mkakati wa Marefa kuiharibia Simba Sc makusudi ili ionekane inapendelewa

Mkakati wa Marefa kuiharibia Simba Sc makusudi ili ionekane inapendelewa

feyzal

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2016
Posts
9,010
Reaction score
18,658
Wazee wana michezo habari zenu.

Bila kupoteza muda niende kwenye hoja,kumekua na maamuzi mengi ya hovyo yanayofanywa na marefa na baadhi ya wachezaji na benchi la ufundi la timu pinzani pindi simba ikicheza ilimradi kuiharibia simba mwana lunyasi inakera sana.

Sisi Simba hatuihitaji busta yenu marefa na niwaonye ninyi timu pinzani msituchokoze makusudi ili baadae yafanyike maamuzi ionekane tunabebwa.
 
KUNA JAMBO LINAENDELEA NYUMA YA PAZIA

EIDHA WACHEZAJI WA TIMU PINZANI WANAHONGWA ILI WAHARIBU MECHI ZA SIMBA,WANAPEWA PESA ILI WAGOMEA MAAMUZI YA MAREFA,WANAKUWA SO HARSH ILI WAADHIBIWE IONEKANE SIMBA INAPENDELEWA

ILA CHA MSINGI NAWAPONGEZA SANA VIONGOZI WA SIMBA WAKO MAKINI SANA KATIKA MAAMUZI YAO,HAKUNA WATU WA KUKURUPUKA WALA KULALAMA SEHEMU.

YANI KUNA MAMBO WATU WANAFANYA UNAONA KABISA WAMETUMWA KUHARIBU MECHI ZA SIMBA,TAKUKURU WAINGIE KAZINI

PILI NA HILO ALOSEMA MTOA MADA KUNA WALAKINI PIA
 
Mbinu zote chafu intelligence ya Simba Iko kama ya urusi vile..mwaka huu lazima watu watoe machozi ya damu..wakome kudharau na kufanyia figisu Simba ..unafikiri ligi inaanza msemo wa ubaya ubwela umekuja kimasihara? Lazima intelligensia ya Simba ilishajihakikishia kulikua na figisu za kutosha misimu iliyopita haswa miwili ya nyuma..Sasa wakae kwa kutulia,, kila mahala penye nyoka tunaponda kichwa.
 
Back
Top Bottom