Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Katika kuungana na dunia kusherehekea Siku ya Mama Duniani Jumapili hii Mei 11, 2025, klabu ya AC Milan imeendeleza utaratibu wa wachezaji wake kuvaa jezi zenye majina ya Mama zao mgongoni badala...
1 Reactions
9 Replies
626 Views
Shirikisho la soka nchini Kenya (FKF) siku ya Ijumaa limetangaza kuahirisha mechi ya Ligi Kuu nchini humo "Mashemeji Derby" baina ya Gor Mahia na AFC Leopards ambayo iliratibiwa kuchezwa Jumapili...
0 Reactions
2 Replies
373 Views
Kule Somalia kuna koo maarufu tano. Ila koo ya Rahanwein ni koo korofi, inapenda vita, ndio anayotoka injinia Hersi Said. Koo zingine ni Hewiye, Darod, Isaaq na Dir Nasikia anautaka na ubunge...
6 Reactions
35 Replies
2K Views
Naaam! Hayawi hayawi Sasa yamekua Mtoto akililia wembe MPE, ndiyo hayo siyo maneno yangu Bali ni maneno ya Wahenga na kiuhalisia kabisa hii fainali Simba SC waliitaka kwa hali na Mali ili wapoze...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Yaani ningekua rais wa TFF nangojea siku ambayo watani zangu vyuva FC wanayosema hawatakuja kucheza mechi, wasipotokea nawashusha hadi daraja. Yaani nafanya kama nimejizima data hivi...
1 Reactions
15 Replies
538 Views
Mimi kama mwanachama wa Yanga Nawapongeza viongozi, wachezaji, Wanachama na mashabiki Yanga ni timu Bora katika ukanda huu wa CECAFA, ndio timu pekee iliyokuwa ikishiriki mashindano makubwa ya...
10 Reactions
56 Replies
3K Views
Kwa mwenendo wa ligi kuu ya benki ya nbc unavyoondelea bila shaka kila mmoja ameona , na anaweza kuona kuwa bingwa tayari anajulikana. Ni hivi kabla ya derby simba atakuwa na point 78 na yanga...
4 Reactions
34 Replies
2K Views
Mzee Mpili anasisitiza Yanga haichezi, na Jemedari Said aache kuongea ujinga. Ameapa mara 3 kumvika sanda nyeupe.
4 Reactions
12 Replies
904 Views
Kwa wana Yanga tu Kuna tshirt za hatuchezi zinanza kutoka jmosi Na mbele mpambane na hali zenu Tuwasiliane nbox
-1 Reactions
12 Replies
621 Views
Zinaendelea kuibuka video nyingi zaidi za kumbukumbu ya mafanikio ya Simba katika historia ya mpira Tanzania. Leo nawaletea video ya robo fainali ya CAF Cup 1993 kati ya USM El Harrachi dhidi ya...
3 Reactions
5 Replies
632 Views
Uogozi wa Yanga wamepewa taarifa pamoja na timu zingine ratiba ya michezo iliyobaki Sasa kama wapo serious kweli waandike barua TFF kuwa hawapo tayari kucheza mechi ya tarehe 15 kama kweli...
1 Reactions
12 Replies
710 Views
Kama zilivyokuwa sababu za kuahirisha mchezo tarehe 8, Ndivyo itakavyokuwa tarehe 15, Licha ya Yanga kusema "HATUCHEZI" lakini pia tutafanya vurugu kwa yeyote atakayeleta timu uwanjani. Mabaunsa...
2 Reactions
42 Replies
2K Views
kwa wapenzi wa Efootball katika harakati za kupunguza stress na kutafuta burudani kwa bei chee karibuni tutengeneze league yetu wenyewe.... Cha kufanya tunatengeneza Group la wasap kwa ajili ya...
1 Reactions
0 Replies
367 Views
"niliambiwa na viongozi wa Yanga kuwa nauza mechi iliniuma sana na nikipokuwa nawapigia simu hao viongozi waliokuwa wanatamka hayo maneno hawapokei simu yangu. "Viongozi walikua wanamtukana mama...
28 Reactions
465 Replies
40K Views
Mwanachama wa Yanga SC, Mzee Magoma amesema ni bora timu iingie uwanjani kuikabili Simba SC kuliko kupoteza alama 15. Asisitiza mechi ipigwe bora wafungwe kuliko kuliko kupoteza mechi 15. Na...
6 Reactions
16 Replies
2K Views
All d best wazee WA mizigooo Tunaendeleaa kusomaaa kurujuani yetuuu Mzigo WA final huoo No drw No 120 mins Ft 2-1/3-1/3-2 All d best Gammbys
1 Reactions
5 Replies
711 Views
Yaani leo Utopolo wanateseka sana na wanaomba kwa miungu yote. Leo Mashabiki wa Simba watafurahi sana lakini Mashabiki wa Yanga WATATESEKA SANA Angalizo: Sio tu kuingia fainali ila Simba inakuwa...
15 Reactions
38 Replies
3K Views
Katika dunia ya soka, hakuna mechi inayosikika sana, kuvutia mashabiki wengi, na kuwa na mvuto mkubwa kama El Clásico, mechi kati ya FC Barcelona na Real Madrid. El Clásico ni moja ya michezo...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Sijui ni mimi tu ila hili jambo limekuwa linanikwaza sana. Unakuta unaangalia moja ya channel za Azam wanasema ikifika muda fulani kuna kipindi fulani kinakuja. Muda huo unafika na kupita ila...
1 Reactions
9 Replies
616 Views
Back
Top Bottom