Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Sijui ni mimi tu ila hili jambo limekuwa linanikwaza sana. Unakuta unaangalia moja ya channel za Azam wanasema ikifika muda fulani kuna kipindi fulani kinakuja. Muda huo unafika na kupita ila...
1 Reactions
9 Replies
616 Views
Simba SC tafadhali sana nawaomba chonde chonde msiingie katika huu Mtego wa Kiufundi na Kabamba ambao Yanga SC waliuanza na bado wanaendelea nao mpaka leo kuwa HAWATOCHEZA MECHI YA MARUDIANO na...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
TFF chini ya Rais Karia akishirikiana na Bodi ya Ligi wanaenda kuua soka la Tanzania muda si mrefu. Matukio na maamuzi yanayofanywa katika michezo mbalimbali ya Ligi ya NBC mwaka huu yana kera...
2 Reactions
48 Replies
2K Views
Haina 120 mins Mapema kabisa KAZI onaisha 2-0/2-1/3-1 Nawatamia hero PSG na arsenal kwenye mechi hii
3 Reactions
49 Replies
2K Views
Wabunge mashabiki wa Yanga wamesikika wakisewma 'Hatuchezi' wakati akitambulishwa Rais wa Klabu hiyo, Eng. Hersi Said Bungeni ndani ya ukumbi wa Bunge jijini Dodoma leo Mei 7, 2025 kwa ajili ya...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
👉🏾Asubuhi, redio zinawashwa utasikia "Simba leo wamelala," "Yanga wameng'ara," "Mechi ya marudiano itakuwaje?" Saa nne bado tuko hapo, mchana hadi jioni, sauti za mpira, kamari, na kubeti...
3 Reactions
9 Replies
631 Views
Kuna timu ilikula mkono bila majibu.. Ngumi ya kichogo
3 Reactions
15 Replies
614 Views
Kimsingi, hauwezi kumuadhibu mtu au taasisi kwa sheria au kanuni ambayo haipo. Kwenye sakata la derby ya Yanga vs Simba ambalo tumekuwa nalo kwa miezi kadhaa sasa, imetuonyesha mapungufu ya...
0 Reactions
1 Replies
455 Views
Moja ya sababu ya Simba kugomea mechi ilikuwa ni kuzuiwa na mabaunsa kufanya mazoezi Je itakuwaje tena Mabaunsa wakiwazuia Simba kufanya mazoezi? Yanga ndo mwenyeji wa mechi Bado, ndo atakuwa...
3 Reactions
21 Replies
963 Views
Sisi ndio wananchi, tuna nguvu na ushawishi na tupo wengi kuliko hata takwimu za wananchama wa CCM na Chadema Kwa pamoja. Kiuhalisia wingi wetu sisi yanga ndio unaamua nani awe Rais wa Nchi hii...
4 Reactions
42 Replies
2K Views
Ninazo taarifa kuwa Klabu ya Yanga imeandika waraka wa kurasa 174 kwa serikali huku ikitumia wadau wake walioko serikalini. Waraka huo ni mwendelezo ya mashtaka yaliyotupwa na CAS. Pamoja na hayo...
3 Reactions
10 Replies
666 Views
Tunaendeleza tulipoishia. VIKOSI VYA LEO
7 Reactions
239 Replies
13K Views
Niwapongeze YANGA kwa KUW ANA MSIMAMO WA HATUCHEZI NAOMBA NIWAASE TU KOMAENI KANUNI NA SHERIA WALIZOPANGA NA KUSAINI WENYEWE LAZIMA ZIHESHIMIWE HAWA WANAZI WA BODI YA LIGI WANAOSHABIKIA SIMBA...
0 Reactions
4 Replies
499 Views
Full time Tanzania 0 - 1 Zambia Ni siku nyingine tena katika Group A team ya Taifa ya Tanzania U-20 aka Ngorongoro Boys wakikipiga katika uwanja wa Suez Canal na team ya Taifa ya Zambia, kuanzia...
3 Reactions
81 Replies
2K Views
Tusikose mechi ya kukata na shoka Kikosi cha Yanga 1. Wallace Karia 2. Steven Mguto 3.Wilfred Kidau 4.Athman Nyamlani 5. Msafiri Mgoi 6 Karim Boimanda 7. Salum Madadi 8 Mangungu 9 Baraka Kizuguto...
9 Reactions
42 Replies
2K Views
Kwingineko Yanga wameziandikia mamlaka za serikalini barua yenye kurasa 167 ambayo inapinga uonevu na dhiluma zinazofanywa na bodi ya ligi chini ya TFF. Yanga wamesema hawaitaki na hawana Tena...
3 Reactions
50 Replies
3K Views
Kwa jinsi mwamba anavyopambana kwa maslahi ya Simba, ukomavu na uzoefu wake. Na kwa kuwa Sasa tuna CEO wa mpito tu Nadhani hivyo viatu vinamtosha Jemedari. Indirectly amekuwa ndio mshauri mkuu...
5 Reactions
20 Replies
1K Views
"Viongozi wa TFF na Bodi ya Ligi au Viongozi wanaosimamia mpira wakianza kuwa biased (kuwa na upendeleo) hili jambo linaendaga taratibu taratibu mwishoni linaanza kujitokeza, unaanza kujulikana...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Tarehe rasmi ya mchezo ilikuwa 8, Busara zikatumika kumkimbia Pacome, Sasa mnalazimisha Busara isitumike kumpatia Yanga haki yake na kumlazimisha kucheza hiyo June 😀 Mna akili timamu kweli? Kateni...
2 Reactions
12 Replies
490 Views
"Kwa mfano Nikikuuliza Kosa la Yanga ni Lipi utanijibu Nini? wanacholalamikia Yanga kipo Katika sakata Hili naona kabisa kuna kubebana Siwezi kuficha, Simba walitoa Taarifa Usiku wa Manane...
23 Reactions
149 Replies
5K Views
Back
Top Bottom