Uongo wa hii timu huwa unawachota hadi baadhi ya mashabiki wa Simba na wao kuingia kwenye mfumo.
Walishafanya kwa chama wakimuita konokono baadhi ya mashabiki wa Simba wakaingia kwenye mkumbo wa...
Nimekuwa nikufuatilia uchezaji wa Mbeya City na mechi zao uwanjani. Kinachoshangaza ni uwingi wa mashabiki wanaojitokeza uwanjani kuangalia mechi zao ukilinganisha na hawa Azam na singida ambao...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi amemtangaza rasmi Bw. Rashid Mijuza kuwa Kaimu Meneja wa Uwanja wa Benjamin Mkapa baada ya kumhamisha na kumpeleka Makao...
Muda mchache ujao, El Clasico inapigwa.
Ni Barcelona Vs Real Madrid katika mchezo muhimu wa La liga ambao utatoa picha ya mbio za ubingwa.
Ikumbukwe ni El Clasico ya mwisho kwa Carlo Ancelloti...
Alipokuwa Dodoma na kufika Bungeni inasemekana mamlaka zilimuweka kitimoto na kukubali Yanga kucheza.
Tatizo ni namna ya kuwalainisha Mashabiki wa Yanga. Ila tayari kuna mbinu imeshaanza...
Habari Wana jf wote. Moja Kati ya washambuliaji bora wa wa Kati kwa Sasa ni Harry kane mshambuliaji anayeichezea Bayern Munich ya ujerumani katika bundesliga.
Kabla ya kujiunga na Bayern alikuwa...
Bodi ya ligi imewasikiliza wachambuzi na kuja maazimio ya kuipangia derby tarehe zingine
CAS imeshauri kuwa shauri lisikilizwe na kutolewa maamzi na ngazi ya Rufaa ya TFF, haijasema bodi ya ligi...
Hata Kama ni Mdau Wa Soka nguli , Kwa Muda huu Msiwafanyie interview.
Itakushangaza Majibu yake...!
Nilimsikia Angetile Osea akitumia neno 'wajinga' TFF na Bodi na akaongeza Kwa Sasa Wasiseme...
Hakuna ubishi uongoxi wa TFF na bodi ya ligi umeegemea Simba kwa 80%. Wanatekeleza matakwa ya Simba bila kujificha.
TFF na bodi ya ligi walíirahisishia Simba kukwepa derby, kushinda viporo vyake...
Harry Kane amewatia gundu wenzie mpaka kombe wamelikosa kama alivyowapelekea gundu Bayern Munich wakakosa ubingwa msimu uliopita na sasa kwa mara nyingine vijana walipambana lakini mkosi aliokuwa...
Kiongozi mkubwa wa KMC amedai kuwa wameamua kucheza mechi yao na simba Dar es salaaam katika uwanja wa KMC tofauti na walivyopanga awali kucheza mechi hiyo tabora kwakuwa simba wameingia fainali...
Naona ameona ujinga wake umeshafahamika. Haka kadogo hakana msimamo kabisa. Sasa hizi jersey zetu za hatuchezi tutazifanyaje? Kameshaanza kulegeza. Simba hawatajibu huo upuuzi.
Leo wakiwa wanaelekea kukamilisha episode ya 4 ya maigizo Yao vijana wao wameshindwa kabisa kuanzisha Uzi kwani wanajua nn kinaenda kutokea hasa baada ya deal kwenda sawa na kuwafidia watoza...
Alisema katika miaka yake hii minne uwanja utapatikana afe kipa afe beki. Napendekeza umaliziwe haraka matches zilizobaki zichezwe kwenye uwanja wetu. Ndo maana unaona anatu keep busy na hatuchezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.