Nimesikiliza kwa umakini maelezo ya wanaoitwa viongozi wa Baraza la Wazee na wa matawi ya Yanga.
Bila kusema mengi, kuna huyu jamaa mmoja ambaye sijamfahamu jina ila nadhani ni mmoja wa viongozi...
Kama timu za Tanzania zitaendelea kuchukua makocha na wachezaji toka nchi zinazozungumza kifaransa, basi kuijua lugha ya kifaransa ni muhimu na lazima.
Wachezaji wetu wa ndani,wachambuzi wa...
Habari wakuu.
Mimi si Mtabiri.
Ila nimesikia na nimeona baadhi ya mashabiki na viongozi wana dalili za kususia mchezo No 184
Wa Kariakoo Deby uliopangwa ufanyike hapo Temeke Dar es salaam...
Kwaini hizi timu 2 za kariakoo kila zinapocheza zinakuwa kama zipo uwanja wa nyumbani popote pale Tanzania?...babati unakuta timu ya kariakoo inashangiliwa kuliko mwenyeji...hii imekaaje?..
Watu...
nonda shaaban ni mchezaji pekee aliewahi kucheza ligi kuu Tz na kupata mafanikio makubwa kisoka kuliko mchezaji yoyote yule wa tanzania kwa zaidi ya miaka ishilini iliyopita unafikiri nini...
Yanga Sc kupitia viongozi wa Matawi mbalimbali kutoka jijini Dar Es Salaam wamekutana makao makuu ya klabu yao Jangwani leo hii Mei 10/2025 huku wakiziuliza mamlaka za soka nchini kuwa wanapangaje...
Nimejitihibitishia pasina shaka kuwa kuna hali fulani ya kuchanganyikiwa pale Utopolini.
Usijekuta wamechanganyikiwa kwa madeni katika michezo, wameibiwa na kijumbe wao halafu wanakuja huku...
Mimi ni mpenzi wa mpira wa ushindani. Sipendi timu ninayoshabikia ishindeshinde kwa kubebwa au kwa njia za mkato. Ushindi mtamu ni ule wa kutolea jasho.
Ningependa sana ligi kuu ya Tanzania iwe...
Katika soka letu Tanzania hasa bara ukiacha inshu ya upangaji matokeo kuna hili tatizo la USHOGA linakuja kwa kasi sana.
Soka letu limekua la hovyo sana ukiondoa rushwa, match fixing, upendeleo...
Nasema kwa Wanasimba TU,wale wote mliomtukana,mliomponda ,mliomlaumu na mliomshambulia mchezaji Jean Ahoua wa Simba,baada ya kukosa goli siku ya mechi ya kwanza baina ya Simba na Stellenbosch huko...
Inauma sana. Tumekuwa tunashambuliwa na kila mjuzi wa soka. Hadi watu wetu wenyewe wanatugeuka kuwa hatuna akili.
Simba wao wamenyamaza tu kama hawahusiki. Viongozi why lakini? Je ni kuficha aibu...
Match Day
Vikosi vya Leo.
1. Simba
2. Pamba SC
Mechi imeanza (Kick Off)
4' Hakuna bao pande zote
08' Simba wanapata free kick nje kidogo ya 18, anapiga Ahoua inaishia kwenye mikono ya...
Mechi ya nusu fainali Kombe la Shirikisho Afrika mkondo wa pili kupigwa leo Jumapili.
Mnyama Simba SC atakuwa dimba la Moses Mabhida akicheza na Stellenbosch.
Mnyama anaingia katika mchezo huu...
Wanasheria wa Yanga, Excellent Attorneys wamempa Demands Notice ripota wa Crown, Nassib Mkomwa aliyepost kuwa Yanga ipo tayari kukosa ubingwa wa Ligi na kukatwa alama 15 kwa kutocheza Derby...
[emoji3447] 𝗦𝗜𝗠𝗕𝗔 𝗔𝗡𝗔𝗣𝗜𝗚𝗪𝗔 𝗡𝗝𝗘 𝗡𝗗𝗔𝗡𝗜, 𝗞𝗢𝗠𝗕𝗘 𝗟𝗔 𝗕𝗘𝗥𝗞𝗡𝗘 𝗛𝗜𝗟𝗜.
“Nimeshaanza dua hii anapigwa home and away anachukua Berkane, alafu waambieni Makolo wakitaka kuongea na Yanga wawe na Kombe mkononi...
Yanga ndo Giant football in Tanzania
Kamwe Yanga haiwezi kuihofia Simba dhaifu inayocheza mashindano dhaifu ya shirikisho
Yanga watacheza na Simba kwenye CRDB confederation cup endapo majariwa...
Simba walipoenda kufanya mazoezi,walikutana na watu waluojulikana kama mabaunsa.
Walitoa taarifa ya malalamiko yao siku ile ile.
Bodi ya ligi walikuwepo na walipaswa kupitia mwakilishi wao kutoa...
Awali ya yote niipongeze Serikali kwa kutoa usafiri wa bure kwenda Morocco jambo hili litaongeza idadi ya wapenzi, wanachama na mashabiki kwenda kuishangilia timu yetu.
Jambo la kuhudhunisha ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.