Mbwiga Mbwinguke, mkora nyani kibwaya mkia, Midfield kisheti!

Mbwiga Mbwinguke, mkora nyani kibwaya mkia, Midfield kisheti!

MstahikiMeya

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2014
Posts
1,633
Reaction score
561
Mbwiga Mbwinguke, mkora nyani kibwaya mkia, Midfield kisheti! Nazitupa tu huku kule halafu naziomba, ni mchakamchaka tu, sako la nani hilo ngedere haponi. Sasa ngoja nikupe kosi hilo kosi hatari la wanajeshi wenye roho mbaya, yaani kila ukiwaona wanahamu wakichafue tu.

Mwaka 1973 hiyo, wapi hiyo? Ndani ya Mkwakwani Stadium Tanga yani unga robo chenji irudi! Si unajua kama kawaida sisi Wazaramo majina yetu ni Shida , Majaliwa, Matatizo, halafu usipokuja kwenye ngoma ya mwanangu na mimi msiba wa babako siji…. rusha vocha nkumalizie utamu wa Mbwiga wa Mbwiguke mkora nyani kibwaya mkia
 
huyu jamaa anamaneno sijapata kuona aisee.

mbwiga%5B1%5D.jpg
 
mkuu,,sio swala la bangi na wala mada sio mbaya, vinginevyo huyu jamaa humjui kabisa na wala hujawahi msikia akiongea, anaongea maneno trillion 6 per second, harafu yote mageni.



Hizi mada zingine hizi, tukiwaambia mnavuta bangi mnakasikirika, haya tumekuelewa mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom