Mtu yeyote mwenye update ya mechi za ligi kuu soka daraja la kwanza kati ya mechi
MWADUI ya shinyanga na POLISI dodoma
STENDI united ya shinyanga na TOTO AFRIKA ya mwanza
hizi mechi ndizo zinazo vuta hisia kali za mashabiki wa shinyanga maana STENDI UNITED ina point 26 na Mwadui fc ina point 28 na inatakiwa timu 1 ipande maana timu mbili zimesha julikana tayari
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.