Sturridge na Suarez

Sturridge na Suarez

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
Hawa jamaa siwaelelwi kabisa uchezaji wao, nahisi Suarez anaendeleza ubaguzi kambini ndio maana Sturridge hampi pasi
 
Acha uongo, Sturridge amefunga magoli mengi kutokana na pasi za Suarez.
 
Huwajui ww unawasikia tu na wala hujawaahi kuona uchezaji wa SAS labda ungesema suarez ndo anabaniwa
 
Jamani mtuache hizo stress zenu na vimeo vyenu hukohuko,Suarez wameshindwa kumuondoa England waandishi wa huko

utaweza ww F*** wa bongo?...

Majungu yenu huko huko kwa Moyes..SCUMS siwapendi pu***vu zenu!...
 
Likwanda,
Acha uongo, Sturridge amefunga magoli mengi kutokana na pasi za Suarez.
Aisee Amavubi hapa amechemka,sijawahi mwona Suarez anamnyima pasi,ila huyo sturridge mchoyo sana wa pasi.

Huwajui ww unawasikia tu na wala hujawaahi kuona uchezaji wa SAS labda ungesema suarez ndo anabaniwa
Hakuna mchoyo kama Starridge ila Suarez huwa anampa jamaa pande za ukweli
 
Vio umenena vyema na tunaongea lugha moja ila maandishi tu ndiyo yanatutofautisha
 
Back
Top Bottom