Kenya breaks world relay records in Bahamas
Sunday, May 25, 2014 - 00:00 -- Agencies
(L-R) Mercy Cherono, Faith Chepngetich Kipyegon, Irene Jelagat and Hellen Onsando...
KATIBU mkuu wa zamani wa Chama cha Soka Tanzania (FAT), sasa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Micheal Wambura amelitupia dongo shirikisho hilo na kusema linafanya maamuzi kwa kukurupuka.Kauli ya...
????????Na Baraka Mpenja, Dar es salaam
WEKUNDU wa ,Msimbazi Simba sc wameshamaliza mazungumzo na
wachezaji wawili kutoka nchi za Uganda na Kenya na kinachosubiriwa
ni safu mpya ya uongozi...
Siku chache zilizopita, Ryan Giggs alitangaza
kustaafu soka. Atajiunga na Luis Van Gaal
kwenye benchi la ufundi la Manchester United
kama kocha msaidizi.
Ni huzuni kubwa kutomuona tena dimbani...
Timu ya MBEYA CITY inaingia kibaruani tena leo kupambana na timu kongwe ya AFC LEOPARD ya Kenya katika michuano ya CECAFA Nile Basin Cup inayofanyika nchini Sudan.
Hii ni mechi ya pili baada ya...
Kutoka Mwananchi la 26 Mei 2014
Na Mphamvu Daniel
Dirisha la usajili katika ligi Kuu Bara bado liko wazi. Kama tulivyozoea, hiki ndio kipindi cha vituko pengine kuliko vyote katika kalenda ya...
Goli la kifo au goli la dhahabu, Hili ni goli linalofungwa kwenye dakika thelathini za nyiongeza baada ya 90 kukamikika timu zikiwa suluhu, Mechi huwa inamalizika baada ya goli kupatikana na timu...
Yaya Toure is considering leaving-Manchester Citybecause the club's efforts to celebrate his birthday were not up to scratch.
Toure turned 31 on May 13, two days after City regained the Premier...
Update 25/5/2014
WAWAKILISHI wa Tanzania Bara katika michuano mipya ya klabu ya Baraza la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) iitwayo Nile Basin, Mbeya City wameanza vizuri leo...
Anthony Mtaka ameanza mapema kile ambacho watoto wa mbwa tunaita 'chomoa nijambe.' Anasema kuwa Watanzania tusitarajie makubwa huko Glasgow kwani timu za mataifa mengine zimefanya maandalizi ya...
Kazi kubwa inayofanywa vizuri zaidi na uongozi mpya wa shirikisho la soka nchini mpaka sasa inaelekea kuwa ni kufuta yale yote yaliyofanywa na uongozi wa awamu ya kwanza ya TFF ya rais aliyepita...
Wanajamvi juzi kati nilikuwa nipo naperuzi tu net nikaona picha ya jezi mpya ya taifa stars yenye logo ya Adidas tofauti na ile ya Uhlsport.
Tafadhari mwenye picha ya hiyo jezi ikionekana vizuri...
SUAREZ AUMIA GOTI
Mshambuliaji wa Uruguay Luis Suarez ameumia goti akiwa mazoezini na ushiriki wake kwenye Kombe la Dunia uko mashakani. Striker huyo wa Liverpool atafanyiwa upasuaji mdogo leo...
IMAGINE NIKO NACHEKI GEMU YA FINALI YA FA CUP, HALAFU NDANI YA DK 10 ARSENO ISHAPIGWA MBILI, NINA PRESURE NA HASIRA, KISHA......
Wife: Leo bora usingeangalia maana mtafungwa nyingi.
Me: Ah...
KUTOKANA NA WENYEJI WAKOMBE LA DUNIA 2014 BRAZIL,,WAMEPENDEZA JINA LA MPIRA UTAKAO TUMIKA KATIKA KOMBE LA DUNIA INCHINI BRAZIL KUITWA BRAZUCA - used by Brazilians to describe national pride in the...
Mm ni kjana wa umri wa miaka 22 nina tafuta timuvya kuchezea yenye malengo pia yenye wachezaji wazur mm nina uwezo wa kucheza winga au midi filda plz naombeni mnisaidie wana jamvi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.