Steven Gerrard astaafu kuchezea timu ya Taifa

mwekundu

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Posts
22,475
Reaction score
21,046

120225094751_steven_gerrad_304x171_bbc_nocredit.jpg

​

Nahodha wa England na club ya Liverpool Steven Gerrard hatimaye ametundika daruga kuichezea timu ya taifa lake la England akiwa na miaka 34. Gerrard amejiimarisha kwenye kikosi cha uingereza tangu mwaka 2000 walipoipiga Ukraine kwa mabao mawili kwa nunge.

Kiungo huyo wa Liverpool amesema aliufurahia muda wote alipoichezea timu ya taifa na kwa kweli ni siku ya masikitiko kwake.
Hivi sasa Gerrard atakuwa katika nafasi za juu za ubalozi katika chama cha soka cha England.

Anastaafu akiwa amecheza michuano mikubwa sita na kufunga mabao 21. Na hivyo kushika nafasi ya tatu baada ya Peter Shilton na David Beckam.

Chanzo: BBC Swahili
 
well done Captain of Miracles. Make sure this year Liverpool win EPL Championships before your retirement at the Club level. Maximize your energy for that
 
Yeye, lampard, welback...hawakutakiwa kwenda world cup kabisa
 
Back
Top Bottom