Tanzania (Taifa stars) v/s Msumbiji (The Mambas)

blues

Member
Jul 10, 2014
59
13
Haya wadau tuhabarishane kile kinachojiri Uwanjani

Hii game la leo si mchezo,hivi ni channel gani watarusha hii game ya leo?

FINAL: Tanzania 2 - 2 Msumbiji
 
Tatizo letu mechi za timu ya taifa hazionyeshwi na television ya taifa tofauti na nchi zingine kama kenya, uganda, south africa na hao msumbiji labda tutaangalia tv msumbiji.
 
Malinzi mechi za timu za Taifa zinaonyeshwa kwenye television za Taifa duniani kote...TFF ni pango la wanyang'anyi ..log out
 
mimi nilisha tuma post yangu kuwaasa tbc1 kujua wajibu wao juu ya maswala ya kitaifa kuliko maswala ya kichama.ni haibu sana kwa chombo cha taifa kutokujitambua kwamba wajibu wao nikuwa hudumia wa tanzania ususani kuwapa burudani. mathalani timu yao ya taifa inapokua inaliwakilisha taifa.nimefatilia tv station za wenzetu ni megundua ni wazalendo sana na taifa lao.pindi timu zao za taifa zinapokua na uwakilishi wa mashindano ya ndani au nje ya nchi. kwa gharama yoyote wamekua wakiwapa wananchi wao kuona na kushuhudia timu zao zinapo cheza ndani ya nchi au ugenini.lakini kwetu ni tofahuti kabisa kwani maswala ya kitaifa hayapewi humuhimu na chombo hichi cha tbc kiukweli majuzi shirika limepewa msaada wa gari la kisasa la kurushia matangazo ya live au moja kwa moja.na jamuhuri ya watu wa china. kiukweli katika nchi zote za africa ni tanzania na zimbabwe ndio wenye gari hilo.sasa kama tatizo lilikua ni vyombo si gari limeshapatikana??? au wana kisingizio gani tena? au gari limeletwa mahususi kwa ajili ya mikutano ya ccm 2015?? wenzangu hembu changieni hapa maana tbc ni chombo chenye roho mbaya sana kwa wananchi,tunamkumbuka sana tido muhando,haya kipindi chake hayakuwepo kabisa tulipata kushuhudia timu yetu ya taifa kila ilipokua inacheza kupitia tbc tofauti na mshana mkurugenzi wa sasa tv imekaa kichama chama.
 
Ni the best in Town
AZAM TV TWO ndio inarusha hiki kitu moja kwa moja kwa umahiri wa hali ya Juu,
Siunajua hiki ni kizazi cha Supersport
Pole kama hauna AZAM tv,tegeshea kwa hao wengine ambao mpira unaenda kasi kuliko Camera.
 
Ni the best in Town
AZAM TV TWO ndio inarusha hiki kitu moja kwa moja kwa umahiri wa hali ya Juu,
Siunajua hiki ni kizazi cha Supersport
Pole kama hauna AZAM tv,tegeshea kwa hao wengine ambao mpira unaenda kasi kuliko Camera.

Hahahaha....mpira unaenda mbio kuliko kamera!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom