Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Dar es Salaam. Mbeya City imetinga robo fainali ya michuano ya Nile Basin inayoendelea nchini Sudan baada ya kutoka suluhu na Enticelles ya Rwanda juzi usiku katika Uwanja wa Khartoum, Sudan...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kikosi cha Brazil kilichoongozwa na mchawi wa soccer Pele Italy German Argentina Uruguay France Hispania England Kwa kipindin cha miaka 83, fainali za Kombe la Dunia zimefanyika mara 19, lakini...
2 Reactions
21 Replies
15K Views
Zikiwa zimebaki takribani wiki mbili kabla ya kuanza michuano mikubwa ya kabumbu duniani.Huku mashabiki wa soka tumekuwa tukifanya maandalizi ya ili kuweza kushuhudia michuano hiyo.Binafsi sina...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Uchunguzi wa shirikisho la soka la Italia umebaini kuwa mchezaji tineja wa Cameroun Joseph Minala ana umri wa miaka 17 wala sio 42 kama ilivyodhaniwa na kuripotiwa katika vyombo vya habari...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Umati wa wanachama na wapenzi wa simba, waliofika klabuni hapo jana mchana, na kushinikiza Wambura arudishwe kwenye uchaguzi, au wapewe sababu za Wambuea kuenguliwa! Je, Wambura kweli hastili kwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
The Reds have made an offer for the England international that could rise to £9 million as Brendan Rodgers looks to supplement his first-choice attacking line of Luis Suarez and Daniel Sturridge...
0 Reactions
2 Replies
929 Views
Alivuna zaidi ya Tsh 24 million za madafu kwa kila sekunde aliyokuwa akimpa makonde Maidana manamo tarehe 3 machi,2014 huko Las Vegas, USA. , ikizingatiwa kuwa kwa sasa dola moja ya marekani ni...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
That time we have been waiting is today! Nani atalitwaa kombe? Msisimko unaweza kuwa sio mkubwa sana kwa kuwa wachezaji walioko national teams watakuwa wakicheza kwa tahadhari ili wasiumie...
2 Reactions
500 Replies
35K Views
Kocha Julio akiwa katika harakati za kugombea nafasi ktk chama Simba,amepotelewa na cheti chake cha form four.Hii inampa wakati mgumu mgombea huyu kutokana na vigezo vya kugombea ktk club hiyo.MY...
1 Reactions
73 Replies
6K Views
the Qatar Islamic Cultural Center lists some specific dos and don'ts for would-be visitors: Men should not go shirtless, and women should not wear leggings as pants. There are also some...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani,mwenye kujua kiundani kwanini CHINA haishiriki mashindano ya kombe la dunia,anijuze kidogo. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Hivi huyu jamaa ana matatizo gani kiasi cha kuelekea kukataliwa kila aendako? TFF, Mara na sasa Simba kote wanaonyesha kutokumtaka. Wanaomjua vizuri hebu tujuzeni.Kulikoni?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Jamani kama umefuatilia tuzo za VPL jana,kuna kitu kilicho nishangaza hasa tuzo ya Mchezaji bora wa ligi et ni Tchetche wa Azam. kulingana na watu aliopambanishwa nao akina Matogolo ni halali yake...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Miaka nenda rudi tumepata kushudia mastaa vinara katika ulimwengu wa soka ambao walikwepo, na wengine ambao bado wanatesa na wengine chipukizi kati ya hayomajina ni nani unamkubali kuzidi wengine?
0 Reactions
57 Replies
21K Views
Cristiano Ronaldo dared to bare it all on the cover of Vogue Spain's latest issue Ronaldo goes naked on the cover of the fashion magazine's June 2014 issue alongside fiancée Irina Shayk in a...
1 Reactions
35 Replies
13K Views
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mecky Sadick jana akiongea na TBC amesema wameishakubali ombi la Yanga na mkurugenzi wa manispaa ya ilala yupo katika hatua za mwisho za kuwaandikia barua club ya...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Zawadi na tuzo zimetolewa kwa timu zilizofanya vizuri na wachezaji waliong'ara msimu wa ligi kuu ya Vodacom 2013/2014 na kukabidhiwa zawadi kwa thamani ya pesa na vikombe leo na mdhamini wa ligi...
1 Reactions
8 Replies
11K Views
Malcolm Glazer, the head of the family that own Manchester United, died on Wednesday morning aged 86, in his hometown of Tampa. While Glazer drove the controversial process that took control of...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Nashangaa TBC hawaonyeshi mpira wa Tanzania vs Zimbabwe,wakati KBC wanaonyesha live mechi Kati ya Kenya vs Comoro.TFF kuweni makini hii ni mechi ya Watanzania wote na kila mtu anapaswa kuona...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
  • Closed
kuna tetesi zimeenea kwenye blogs mbalimbali kuwa bwana Wambura Baada ya kuenguliwa kutogombea nafasi ya Urais katika uchaguzi ujao wa klabu ya Simba, Wambura amefunguka na kusema nitagombea...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom