Jamani Uwanja mpya wa Taifa!

Jamani Uwanja mpya wa Taifa!

K-Boko

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2013
Posts
697
Reaction score
218
Uwanja mpya wa Taifa, hususan eneo la kuchezea soka, ulikuwa mmoja wa viwanja bora kabisa ulipokabidhiwa miaka miwili-mitatu iliyopita. Hivi sasa umeshaanza kutia kichefuchefu--eneo la kuchezea (pitch) vipara kibao na huko vyooni ndio usiseme! Yaani utadhani hauna mwenyewe!!
 
Back
Top Bottom