mansoorsaid
JF-Expert Member
- May 31, 2014
- 1,498
- 286
Timu ya kata ya Majengo yashinda mashindano ya jimbo Dodoma Mjini
Mashindano hayo yalidhaminiwa na mbunge Malole wa CCM yalishilikisha kata 37.siku ya fainali jana kwenye uwanja wa jamhuri ilikuwa majengo na chang'ombe majengo iliibuka ushindi magoli 2-0 ushindi huo ukiongozwa na diwani mahili Ali Msinta na katibu kata machachali wa ccm ndugu Husein a.k.a china washindi walinyakua shs milion moja
hongera majengo