Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Wakuu! CAF kupitia barua yao imewaambia TFF na Simba SC kuwa mchezo wa fainali ya pili ya CAFCC kati ya Simba dhidi ya Berkane ipigwe New Amaan Complex visiwani Zanzibar. Pia, Soma: Mwana FA...
9 Reactions
140 Replies
10K Views
Wangapi mnakikumbuka Kikosi hiki kilichoshiriki Euro 96 palepale kwao England Kutoka kushoto kwenda kulia gary neville, David platt, mcmanaman, Darren anderton, seamen na shearer Waliochuchumaa...
4 Reactions
59 Replies
8K Views
Kwa mtazamo wangu, wachezaji wenye uwezo wa kucheza Ulaya kwa sasa kutoka ligi yetu pendwa ya NBC ni: 1. Chama 2. Max 3. Yao Wewe waonaje?
6 Reactions
94 Replies
7K Views
Kocha bora kwa muongo mmoja na nusu uliopita bila shaka ni Josep “pep” Guardiola kutoka Spain. Huyu akiikamata mechi atakutawala kwanzia possession, mashambulizi, magoli yaani kila kitu. Kama...
9 Reactions
21 Replies
1K Views
Nitashangaa sana kama kuna mtu anayesifia kwamba sijui "Mkapa imekuwa tishio" timu za Afrika zinaogopa kuja! For what? What non sense is this? Viachwe kuogopwa viwanja vya waarabu na viwanja...
1 Reactions
3 Replies
391 Views
Mpira wa Africa una figisu sana. Inashangaza sana kuna wenzetu wanaunga mkono figisu inazofanyiwa Simba au wanatoa vimaneno pale Simba inapofanya kila inachoweza kupata ushindi, hawajui kuna siku...
4 Reactions
30 Replies
2K Views
Mwamposa kajitahidi mpaka mmetoboa lakini hata shukrani hamjampa, Ubingwa mtausikia kwenye bomba
2 Reactions
18 Replies
670 Views
Ukimuangalia huyu jamaa kwa jicho la kishabiki , ukiwa shabiki wa Simba sc utasema jamaa ni bonge la beki ila ukiwa shabiki wa Yanga sc utasema jamaa ni mbovu .Lakini ukimuangalia kwa jicho la...
11 Reactions
22 Replies
2K Views
Waziri Mkuu wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa ametembelea na kukagua miundombinu ya Uwanja wa Benjamin William Mkapa ikiwepo Viti vipya vilivyofungwa na eneo la kuchezea (Pitch).
6 Reactions
76 Replies
3K Views
Jana ilikuwa siku ambayo Azizi Ki aligundua kuwa anacheza kwenye timu yenye baadhi ya watu wasio na upeo wa kutosha kuhusu maana halisi ya mpira – watu wanaoendeshwa zaidi na hisia kuliko uzalendo...
8 Reactions
41 Replies
2K Views
Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamisi Mwinjuma, maarufu Mwana FA amesema kila bao litakalofungwa katika mechi ya leo dhidi ya RS Berkane litapata bonus ya TSh. Milioni...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Wakuu, Katika maisha yako ya soka ni golikipa au makipa gani uliotokea kuwakubali zaidi katika soka la bongo,au Duniani kwa ujumla?
3 Reactions
56 Replies
2K Views
Wakuu lawama zote namtupia mwekezaji wa simba bwana moo kwakuamua kuichukua simba na kuitengeneza kuwa tishio hapa afrika na duniani kwa ujumla, hii yote imepelekea simba iogopeke hasa inapo...
5 Reactions
25 Replies
1K Views
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU Baada ya wananchi yanga kutinga hatua ya fainal za CRDB tiar viongozi wa Simba wameanza mbinu za kukimbia game Na mbinu yao ya kwanza kabisa itaanza kwenye...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Hii For the first time ever Hii Ina maana hawatambui Ile fainali yetu ya Abiola kapu 93?
7 Reactions
38 Replies
2K Views
Namuonea huruma Che Fondoh na Hamza kudadadakiii Huyu mwamba kufunga Kwake ni jambo la kawaida, Si mlizoea pira papatu papatu la Refa Sasa njooni Morocco Remember the Name Oussama Lamlaoui.
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Wadau na wapenzi wa Simba Sport club, Nipo hapa kwa unyenyekevu mkubwa kuwataarifu kuwa nmeoneshwa kwenye maono kuwa Simba leo atashinda goli 1 .,,match haitakua ngumu kama ilvyotarajiwa. Match...
1 Reactions
9 Replies
700 Views
UONGOZI wa Simba baada ya kupata taarifa ya kubadilishwa ghafla kwa uwanja ambao utatumika kwa mechi yao ya nyumbani ya hatua ya fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya RS Berkane, ulifanya...
12 Reactions
45 Replies
3K Views
Simba ilikuwa ifungwe magoli 4-0 kama isingekuwa mbeleko ya refa/CAF. Ukweli ni kwamba kitendo Cha refa kukataa kwenda kwenye VAR Kwa matukio 2 ya wazi ambayo yote yalikuwa penati kimeakisi msemo...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Back
Top Bottom