Sisi kama Yanga tunasema lile shut la Aziz Ki halikuwa goli kwa sababu mpira haukugusa nyavu lakini kuna mashabiki wa Simba wanataka kutugombanisha na refa kwa kusema lilikuwa goli
SIMBA...
Bingwa wa shirikisho hupata 2 million USD, ila cha kushangaza gharama za motivation, bahasha na nguvu kubwa aliyoitumia Bwn Kanji ili tu kuiprove wrong Young africans inafikia zaidi ya 5 million...
Taarifa zinaeleza kwamba, Kombe lingepelekwa kwanza Ikulu ya Zanzibar, ambako kungekuwa na Chakula cha jioni (tayari viti vilishapangwa).
Baada ya hapo kombe lingepelekwa Ikulu Dodoma kwa ajili...
Mechi ya mkondo wa kwanza ya fainali ya CAF Champions League kati ya Mamelodi Sundowns na Pyramids FC itachezwa saa kumi jioni kwenye uwanja wa Loftus Versfeld.
Kaa nami hapa kwa matukio ya...
Kuna yeyote anayebisha? Kama timu yako imewahi kucheza fainali yoyote ya CAF katika dimba la Mkapa, nyoosha mkono juu.
Vinginevyo kaa kimya.
FT aggregate 1:3 😀
Nimeshangazwa kama sio kusikitishwa na andiko la Naibu Waziri
Kilocho nishangaza Naibu Waziri anashangaa na maamuzi ya mwamuzi , lakini katika Ligi yake ya ndani maamuzi kama hayo yamekuwa...
Baada ya matokeo ya 2-0 dhidi ya Berkane kule Morocco nimeoana wanasimba wengi wakifurahia haya matokeo, kuwa watapindua meza (Remontada) na kuwafunga Betkane kwenye mechi ya marudio kama...
Kwanini?
1. Tayari Saikolojia ya Wachezaji wa Simba SC iko chini kwani wengi Wao baada ya Mechi ya Kwanza Morocco kumalizika na hata majuzi walivyokuwa wakirejea Uwanja wa Ndege JNIA walikuwa...
RASMI [emoji599][emoji599]: Berkane kutoka Jangwani Dar es salaam imemsamehe muamuzi wa mchezo wa Jana ambae alikuwa na deni kubwa na mashabiki hao wa Berkane ya Jangwani deni ambalo aliliweka...
Haikuwa rahisi kuamiini YANGA imetolewa na mamelody kwa goli la dhuluma
NDUGU majirani wakajanna fedhehaa kubwaaa mpambane na hali zenu
Tukajipanmoyo kulalamikia lakini haikusaidia
Yt
SINDANO...
Ratiba ya Mnyama Simba Baada ya Kutwaa Kombe la Afrika CAF Hapo Jumapili
1. Jumatatu Kombe litapelekwa Ikulu ya Rais Hussein Mwinyi Zanzibar
2. Jumanne Kombe litapanda Ndege Kuelekea Dar es...
Habari za MDA huu.
Simba SC ilifungwa jana, Mei 17, 2025, na RS Berkane kwa mabao 2-0 katika mchezo wa kwanza wa fainali ya Kombe la Shirikisho la CAF uliofanyika kwenye Uwanja wa Stade Municipal...
Golikipa wa Yanga Djigui Diarra ukiacha footwork yake hana tofauti yoyote ya kumzidi Ally Salim wa Simba na hata Hussein Abeli. Kuna nyakati Salim amedhihirisha kuna vitu anamzidi Diarra.
Moja ya...
Kwa maneno ya dharau ambayo kocha wa Berkane aliyoyasema kua Simba hawana ufundi ni dhahiri nilijua kua watakuja kucheza mpira wa playstation, ufundi mwingi na kushinda magoli mengi. Kwamba Simba...
Huyu mchekeshaji ana mambo ya kitoto sana. Toka afungwe zile goli mbili za kizembe imani imeshashuka sana.
Baada ya kufahamu kwamba ni mchekeshaji kama kina Steve Nyerere, nimegunduwa kuna muda...
Ngoma ameoneka akimpiga Kwa kumshutukiza Goal keeper Camara
Ngoma ameleta masifa, kumfokea mchezaji mwenzake mbele ya mashabiki wakati hayo mambo wangeyaongea chumbani muda wa mapumziko
Ngoma...
Kama ni kukosa sio mara ya kwanza hata mtani na yeye alikosa, alipoishia tumepafikia hakutakuwa na zile kelele za abiola cup ya miak 30 iliyipita.
Tujipange kwa msimu ujao LIGI YA MABINGWA
Huu...
Habarini, viongozi wa Simba chukueni huu ushauri msiupuuzie Mechi ya jumamosi Tarehe 17 Berkane atashinda,
ila mechi ya pili iliyokuwa imepangwa kuchezwa Dar es salaam majira ya saa kumi ilikuwa...
Habari za uhakika
Dk 20 zilizopita timu ya berkane imeleekea MOROCO wakiwa na KOMBE lao walilopata BAADA ya kutoka drw na Simba sc UWANJA WA Amani
Taarifa zaidi vijana WA Simba bado awajarudi dar...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.