Hapa Sasa ndio tutajua matawi halisi ya nyuma mwiko....
Natarajia leo singida wapange kikosi kama walivyocheza na timu inayoitwa "wenye akili ni wawili tuu".
Wakuu Jana Christian Ronaldo katoa tamko baada ya kutamatika mechi kati ya timu yake ya Al nassri na Al fateh ambapo Al nassri alilala 3-2
Kauli Ile inaonyesha kuwa ni mwisho WA maisha ya nguli...
Hebu tafakari kama tungechukua kombe kila kiongozi wa serikali angeanza na neno gani kwenye huo ushindi.
Nafikiri hata wachezaji wangesahaulika kupongezwa.
Umekuwepo uhuni kwenye mashindano ya CAF, pale ambapo ambapo zinacheza timu za viongozi wa CAF
Rais wa CAF Patrice Motsseppe ndo mmiliki wa Mamelod Sundown na Vice president wa CAF Fouz Lekjaa...
Za uzima
Nianze kuwapongeza kwa kuwa washindi wa pili kombe la caf
Kifupi mkijitayarisha kuvaaa majezi ma t-shirt y kila aina na hata zaa kuuzia mashbiki wenu pale mkichukua ubingwa
Na haikuwa...
BANA WEWEE USITUKANE MAMBA UJAVUKA MTU
MSIKILIZEE MWAMBA ANAVYOSEMA
YANGA WALIVAA SHANGA
MEDALI BILA KOMBE KAMA SHANGA TUU
WAO WANALETA KOMBEEE
WAMEISSHIAA
KUJA NA SHANGA ZILE ZILE LOH
Katika ukurasa wake wa instagram kapost kuwa CAF SIKU NYINGINE WASIWAPOTEZEE MUDA WAKATI WANAJUA KABISA WANA WASHINDI WAO
Huyo ni waziri wa Michezo ambaye alikabidhiwa Mabilioni kurekebisha...
Klabu ya Borussia Dortmund ya Ujerumani imepata mdhamini mpya ambao ni kampuni ya Vodafone.
Kampuni hiyo hutumia rangi nyekundu.
Sasa Dortmund wamegomea rangi hizo nyekundu za mdhamini na...
Wakuu samahani hivi viongozi WA timu zetu wanashindwa kuandaa mbinu za kukabiliana na maamuzi mabovu ya warefa WA hizi mechi kubwa.?
Leo ndio simba kafungwa lakini tulijua kabisa kuwa lazima...
Ni kwli watani wote wa jadi wana kelele za kutambiana ila Yanga wana nafuu, ikitokea wakashinda kombe la Caf kutakuwa na kelele ila ni kwa muda mchache yataisha.
Kwa simba hali ni tofauti kabisa...
MUNGU fundi
MUNGU Mwamba
MUNGU ANAJIBU maombi
Haya ndipoo manenoo aliyoongea Ahmed ally
BAADA ya YANGA kupeleka malalamiko ya kunyimwa goli
MECHI ya YANGA vs mamelody
Nisimalixie fungua uchekeee
LEO TUMEFUNGWA KWASABABU YA YANGA
Shabiki wa simba amelia na @yangasc pamoja na viongozi wake akidai wamefanya namna mpaka mechi haikichezwa kwenye uwanja wa Taifa (Benjamin mkapa)
Tanzania Bara...
Tanzania, kama ilivyo kwa maeneo mengine ya Afrika na duniani, tunapenda sana mpira wa miguu. Mchezo huu umekuwa sehemu muhimu ya utamaduni wetu, ukijumuisha shangwe, mazungumzo na matumaini ya...
Miaka ya zamani kidogo hasa 1988/1989 kulitokea janga uwanjani na kuua mashabiki wengi sana Hillsborough disaster, Liverpool wakafungiwa kucheza michuano ya ulaya kwa miaka mingi sana!Hadi Leo...
Mahakama Kuu ya Tanzania imeipa ushindi Azam Media dhidi ya Bondia, Amos Mwamakula aliyetakiwa kulipwa fidia ya Tsh. milioni 250 baada ya kushinda kesi ya uvunjifu wa haki miliki ya wazo lake...
Muda huu hapa Kinondoni baadhi ya mashabiki wa Yanga wamekusanyika kufanya sherehe yao ya Kahawa Day wakifurahia Simba kukosa Kombe la Shirikisho.
Una maoni gani juu ya hili? [emoji28]...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.