Chick_tz
JF-Expert Member
- Mar 2, 2025
- 2,446
- 3,297
Makolo wanaitaka sapoti ya Yanga kwa udi na uvumba.Sisi kama Yanga tunasema lile shut la Aziz Ki halikuwa goli kwa sababu mpira haukugusa nyavu lakini kuna mashabiki wa Simba wanataka kutugombanisha na refa kwa kusema lilikuwa goli
SIMBA MSITUCHONGANISHE NA REFA Yule refa hana baya Au nadanganya Pdidy
Giant wa kucheza dakika 200 na ushee na kupata on target 1.Wanajiita ma giant wa africa du!
Refa gani yule wa mechi ya jana au?Ally kamwe kabandka bango kwenye gari lake likiwa na picha ya refa
Safi sana japo jana refa kachezesha fair sana.Ee yule yule ni kisas kwa ahmed ally
Kabisa.Wana mihemko