Tetesi: Antonio Conte kuachana na Napoli

Tetesi: Antonio Conte kuachana na Napoli

Chick_tz

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2025
Posts
2,447
Reaction score
3,300
Taarifa zinasema kuna uwezekano ALLEGRY Kuinoa Napoli huku rais wa Napoli akisema k.d.b watafanya mazungumzo naye mzabzab tim yako hii
 
Sisi mashabiki wa Arsenal tungeachana na Arteta kwa muda.. Conte aje
 
Conte huwa anapenda clear and defined project, mkizingua anasepa zake,,, Anachukua likizo anammbeba mke wake wanaenda ibiza, maldavies, copacabana huko kuenjoy na kupata mvinyo na familia yake huku akisikiliza simu za agent wake zikimpa options zilizopo on the table ,,,,,

Project aliyowahi kudumu nayo kidogo ni Juve
 
Taarifa zinasema kuna uwezekano ALLEGRY Kuinoa Napoli huku rais wa Napoli akisema k.d.b watafanya mazungumzo naye mzabzab tim yako hii
Dah acha tuu...napoli nimeioenda kuliko navyopenda mbususu. Na kocha aliyefanya niipe de napoli ni bwana sarii...aisee jama hakushinda scudetto lakini ball lake lilikuwa linavutia sana kucheki...ile timu sitahisahau.

Pepe reina
Koulibbaly
Albiol
Ghoulam
Hysaj
Gogino
Zielinski
Hamsik
Insigna
Mertens
Callejon

Hatari hiyo timu mwanawane zilikuwa zinagongwa sambusa tuu. Nakumbuka ilipigwa mechi pale etihad mwanawane yaani makocha wawili exchanging tactical blows mpaka mwenye unasema yes...hawa watu they know football.

Ila poa tuj ata max allegri ni kocha mzuri. Didi well at ac millan and good work at juventus. Na hivi conte kashamjengea msingi its up to him to make sure champions league napoli wanafika mbali
 
Back
Top Bottom