Breaking news: Berkane ya jangwani yamsame Refa jana

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
23,027
Reaction score
33,003
RASMI [emoji599][emoji599]: Berkane kutoka Jangwani Dar es salaam imemsamehe muamuzi wa mchezo wa Jana ambae alikuwa na deni kubwa na mashabiki hao wa Berkane ya Jangwani deni ambalo aliliweka kwenye mchezo wa robo fainali ya klabu bingwa Afrika Yanga Vs Mamelodi sundowns pale South Africa. [emoji1][emoji1]

Ila bongo [emoji3][emoji119][emoji119]
1748250100735.jpg

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
RASMI [emoji599][emoji599]: Berkane kutoka Jangwani Dar es salaam imemsamehe muamuzi wa mchezo wa Jana ambae alikuwa na deni kubwa na mashabiki hao wa Berkane ya Jangwani deni ambalo aliliweka kwenye mchezo wa robo fainali ya klabu bingwa Afrika Yanga Vs Mamelodi sundowns pale South Africa. [emoji1][emoji1]

Ila bongo [emoji3][emoji119][emoji119]View attachment 3346255

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
mwenye hii gari ukute ni baba wafamilia
 
Back
Top Bottom