Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Mtaaaaniiii YAAANI NASHAURI wiki hiii nzimaa msishinsane na Wana Simba popote Wana stress kubwaa kiasi cha kwamba Kesho ASBH USISHANGAE kusikia MAGAZETINI "SIMBA YAJIUNGA NA CHAUMA"""
0 Reactions
1 Replies
337 Views
Brazil: 1:pele 2:Romario 3:Rivaldo 4:Ronaldo 5:Gaucho 6: Neymar 7: Kaka 8: Robinho 9: Vinicius 10: Adriano Argentina: 1: Maradona 2: Batistuta 3: Messi 4: Dybala 5: di Maria 6: Tevez 7: Aguero 8...
4 Reactions
10 Replies
493 Views
Nimefurahi sana hakuna cha Mama wala nini,ni mwendo wa Spana za Gwajima na uchungu kwa wale wapendwa wetu waliopotea hatuna mda wa furaha mpaka Tundu lussu awe huru
16 Reactions
21 Replies
1K Views
Katika taarifa za kushtusha inatipotiwa kwamba kocha wa Man City Pep Guardiola amekubaliana kwa mdomo kujiunga na Juventus. Mwandishi wa habari Luigi Guelpa ameiambia radio ya CRC kwamba chanzo...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Uzi huu ni kumbukizi ya historia na hauhusiani na uzi wa matokeo ya leo. Mnakumbuka ule msemo wa kichwa cha mwendawazimu? Basi hilo jina walipewa makolo baada ya kudufuliwa na kutolewa wakiwa...
2 Reactions
10 Replies
602 Views
Kipimo cha Unabii ni kutimilika usipotimilika huyo mtu ni nabii wa uongo Watanzania msiende makanisa ya manabii wa uongo waliotabiri Simba itashinda kombe la CAF akiwemo Mwamposya ,Gwajima nk...
3 Reactions
26 Replies
1K Views
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU Msimu huu makombe yote kwa bara la Africa yatachukuliwa ugenini Lakin mmoja ambaye ni kibonde kabisa atapigwa nje ndani SAYUNI BOY
2 Reactions
10 Replies
658 Views
Kombe la shirikisho limefutwa rasmi. https://www.jamiiforums.com/threads/caf-kuyafuta-mashindano-ya-kombe-ya-shirikisho.2309878/ Simba ina chance ya kulihitimisha kombe hili kwa kuiheshimisha...
2 Reactions
5 Replies
907 Views
Juzi hapa nilisema kuna makosa mawili ya nje ya uwanja ambayo yanaenda kuinyima Simba ubingwa wa CAFCC ila nikasita kuyataja. Kuna watu walinihusia sana niyataje makosa hayo ili yafanyiwe kazi...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
UTABIRI WANGU MECHI YA SIMBA FINAL 1. Hali ya Mchezo kwa Upande wa Simba SC Wamepoteza 2-0 ugenini, hivyo wanahitaji ushindi wa 2-0 ili kupeleka mchezo penaltini au 3-0 kushinda moja kwa moja...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Leo ndiyo nngwe ya pili ya Fainali ya kombe la Shirikisho Afrika ikiikutanisha timu ya USM Alger ya nchini Algeria na Yanga SC ya Tanzania ambapo Yanga itakuwa ugenini. Katika mchezo wa kwanza...
9 Reactions
2K Replies
109K Views
Ninauliza kama kuna namna yoyote Simba inaweza kuingia upya kwenye mashindano haya msimu ujao. Mashindano ya Caf Champions ni magumu sana, tumechoka kuishia robo fainali
0 Reactions
0 Replies
312 Views
CAF imemteua mwamuzi wa kimataifa kutoka Mauritania, Dahane Beida, kuchezesha mchezo wa marudiano wa fainali ya Kombe la Shirikisho barani Afrika kati ya Simba SC na RS Berkane utakaopigwa Mei 25...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Kati ya watu ambao wanaumia sana na matokea ya Jana basi Mwasibu ni no 1 , sasa huu ni Uzi maalumu kwa ajili ya kumtia moyo ndugu yetu Mwasibu. Uzi Tayar Updates: Inatia Uchungu kwa Mwasibu...
4 Reactions
36 Replies
2K Views
RS Berkane ana uhakika asilimia 💯 kuchukua ubingwa 1. Kesho saa 1 kamili asubuhi kombe litatua Dar es Salaam, na kupokelewa na mashabiki wao wa Tanzania. 2. Parade la ubingwa kuelekea viwanja...
6 Reactions
33 Replies
2K Views
Sioni. Kila nikiangalia sioni Simba akichukua kombe. Yanga tumefanya kazi kubwa sana na hawa maarabu. Kwa kweli haitowezekana Simba kuchukua kombe. Labda kombe la uji au urojo huko Zanzibar...
0 Reactions
6 Replies
383 Views
Gone are the days when real men played football at it's best. Farewell THOMAS MULLER.... farewell JOHN BOCCO.... Daaah mpira ulikuwa Mpira Bana achana na Hizi modern football walizotuletea kina...
8 Reactions
106 Replies
4K Views
Habari wadau . Moja kwa moja kwenye mada .Nimeona baadhi ya mashabiki wa simba wakijipa moyo kuwa wanabeba ubingwa . Ukweli japo mchungu nikwamba baada ya mechi kila shibiki wa simba atatoka...
2 Reactions
11 Replies
645 Views
Back
Top Bottom