Nikiwa kama mpenzi wa soka Ronaldo ni mchezaji Bora kama humfananishi na Messi ni vile ushabiki na mapenzi ya watu kwa mchezaji ndio ujitoa ufahamu. Mashabiki wa Ronaldo walikuwa wanalalamika kwamba wachezaji wenzake hawampi pass Ronaldo wanatakiwa wajue hili heshima huwa inakuja pale ambapo umeonesha una kitu, Ronaldo ukitoa magoal yake hana anacho offer uwanjani yaani asipotengenezewa nafasi ya goal hana anachotoa kwa wenzake ndio maana anakuwa mzigo kwa team badala ya kuwa ni msaada kwa Team.
Ukija kwa Messi, wachezaji wenzake wanaonekana wanampigania haijaja kwa bahati mbaya la hasha! Ni kwasababu ya uwezo wake binafsi wa kuibeba team ndio inampa hiyo heshima. Messi ana offer vingi uwanjani anadrible, anafunga magoli kwenye nyakati ambazo hutegemei na vile vile anatengeneza nafasi kwa wenzake mfano mzuri umeona kwenye mechi ya Jana Argentina ilikuwa imekata tamaa baada ya zile mbili Messi akaona hapati mipira mingi kati akaamua aswitch upande acheze kama Winger wa kulia hiyo inaitwa IQ ya mchezaji aliye bora hii haufundishi na kocha hapo kumbuka imebaki dk 11 mpira uishe impact ikawa kubwa akawa anakuwa more provider badala ya feeder kitu ambacho huwezi kukiona kwa Ronaldo ndipo aka assist na then kufunga.
NB: Messi anaitwa The greatest footballer of all time sio tu kwasababu anafunga magoal mengi pekee ni pamoja na sanaa yake ya uchezaji ndio inayomtofautisha na wachezaji wengine include CR7 ndiyo inayofanya awe Exceptional na kupewa hiyo sifa.
Najivunia sana kuona era ya Messi bila kuhadithiwa kwa kweli kumpata mchezaji aina ya Messi itachukua muda sana ila ni rahisi kumpata Ronaldo.