Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Mpaka Sasa Uganda ndiyo timu pekee haijapata hata Point Moja kwenye mashindano ya AFCON 2017 - Gabon Uwezo wao wameuonyesha Ila kundi walilopangiwa halikuwa Rafiki kwao. Hongera kwa kujituma...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mabingwa watetezi Kombe la Shirikisho, Yanga wameanza kampeni yao ya kulitetea kombe hilo vizuri kwa kuitwanga Ashanti United kwa mabao 4-1. Yanga imeitwanga Ashanti katika mechi nzuri kwenye...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Wadau wa soka la bongo naomba tukumbushane jinsi ilivyotokea mgogoro wa kumgombania mchezaji mashuhuru miaka ya 1980 "Ezekiel Greyson " Jujuman baina ya vilabu vya Simba Na Yanga ili ambao...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Baada ya Pep Guardiola kuja Mancity alimsajili aliyekua kipa wa Barcelona Claudio Bravo na kumtoa kwa mkopo kipa aliyekua chaguo la kwanza na Kipenzi cha Waingereza Joe hart kwenda Torino ya...
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Mpaka sasa Everton inaongoza kwa mabao manne (4) huku Man City wakiwa hawana kitu, Man City anainyemelea nafasi ya sita, ikumbukwe huyu kocha alikimbiza sana La Liga na Bundasliga hali ni tofauti...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
  • Closed
Klabu ya Azam imenunua kifaa cha kisasa cha kufanyia mabadiliko wachezaji na kuongezea dakika ,kifaa hicho kitakuwa kinatumika Azam complex tu. Tff kwa miaka sasa wanatumia teknolojia ya hali...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limefanya droo ya makundi ya kutafuta nafasi ya kushiriki Kombe la Mataifa ya Afrika 2019 ambapo machuano hiyo itafanyika nchini Cameroon. Kufanyika kwa droo hiyo...
1 Reactions
40 Replies
9K Views
Jana usiku ulikuwa mchungu kwa jamaa mmoja aliyekuwa katika chumba cha kuchezeshea kamari "Betting"eneo la Magomeni kagera. Akiwa anafuatilia mpambano kati ya Sevilla vs Real Madrid aliweka...
2 Reactions
13 Replies
4K Views
Kiungo mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Al Ahly na Misri, Mohamed Aboutrika ameongezwa kwenye orodha ya magaidi nchini Misri kufuatia kutuhumiwa kuwa na uhusiano na kikundi cha Muslim...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Wadau wa Msimbazi vipi tena..... mbona kimya?? ==== Mpira ni mapumziko; Mtibwa 0, Simba 0 Kipindi cha pili mpira bado ni bila kwa bila Mpira umekwisha; Mtibwa 0, Simba 0
0 Reactions
77 Replies
7K Views
Naombeni tutajiane wachezaji wa kibongo wanao ongoza kwa pesa ndevu
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wadau?Kwa siku kadhaa sasa nimekuwa nikifatilia Kwa ukaribu mechi za mashindano ya soka ya kombe la afrika maarufu Kwa jina la Afcon yanayoendelea huko Gabon,nilichokigundua mpaka sasa na...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wadau wenzangu wapenda michezo wenzangu ukweli nimemiss sana maneno hayo. Hebu nipeni vionjo vyenu na kumbukumbu zenu juu ya hizo sentesi.
0 Reactions
2 Replies
745 Views
TFF nadhani mnajua kuwa Mungu wa Watanzania anawaona. Tumefika hapa baada ya Mpira kutushinda kabisa. Sasa tunatoa Bendera kwa wanaokwenda Kuburudisha na sio wanamichezo tena........ Ngashindwa...
7 Reactions
154 Replies
19K Views
Wakuu kama kichwa kinavyojieleza hapo juu Tukio lililoniuma na kuona soccer ni ushenz ni kitendo cha asamoah gyan wa ghana kukosa penalty dhidi ya uruguay Ardhi yetu wa Afrika Mpira umebaki dk...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Shirikisho la Kimataifa la mpira wa Miguu (FIFA) limemteua Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi kuwa Mjumbe wa Kamati ya Maendeleo ya soka ya FIFA kwa miaka minne ijayo. Uteuzi...
0 Reactions
1 Replies
945 Views
Kuna kamchezo kaibeba simba ili wabebe ligi kuu maana ukifuatilalia toka huu mzunguko uanze kila mechi lazima aanze yanga alafu ndiyo simba afuatie kuna agenda gani inaendelea hapo?
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kocha mkongwe, Luis Van Gaal amestaafu rasmi kazi hiyo kwa sababu za kifamilia. Kocha huyu mwenye historia na rekodi kadha wa kadha. - Katika maisha yake ya soka amewahi kuzinoa Klabu za Ajax...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Amekuwa ndiye mchezaji mkongwe zaidi kucheza katika michuano hiyo ( miaka 44 ) , mara baada ya kuchukua nafasi ya kipa no 1 aliyeumia . Mungu mpe maisha marefu ili aendelee kufundisha vijana .
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…