


Mpaka Sasa Uganda ndiyo timu pekee haijapata hata Point Moja kwenye mashindano ya AFCON 2017 - Gabon
Uwezo wao wameuonyesha Ila kundi walilopangiwa halikuwa Rafiki kwao.
Hongera kwa kujituma.
Aluta Continua
1980: Tanzania Tulifuzu Ila tuliambulia Point Moja tu Je Uganda kutuiga?
Tusubiri mechi ya Mkondo wa Mwisho.