VPL 18/01/2017 - Mtibwa 0 vs Simba 0

M-mbabe

JF-Expert Member
Oct 29, 2009
13,203
23,026
Wadau wa Msimbazi vipi tena..... mbona kimya??

====
Mpira ni mapumziko; Mtibwa 0, Simba 0
Kipindi cha pili mpira bado ni bila kwa bila
Mpira umekwisha; Mtibwa 0, Simba 0
 
WENYE TIMU WASHAJUA KUWA LEO HUKO NI MAJANGATU....NDIO MAANA WAMEKUWA KIMYA SANA KUANZISHA UZI...
 
Back
Top Bottom