Gurdiola EPL imeshamshinda, muda si mrefu atafukuzwa

thesym

JF-Expert Member
Aug 15, 2012
3,792
4,681
Capturew.PNG

Mpaka sasa Everton inaongoza kwa mabao manne (4) huku Man City wakiwa hawana kitu, Man City anainyemelea nafasi ya sita, ikumbukwe huyu kocha alikimbiza sana La Liga na Bundasliga hali ni tofauti ndani ya EPL.

7b6b5111-eed5-4563-b699-17b37990e4be.jpg

- Guardiola atamaliza nje ya Top 4
 
Morinhuo alisha wahi kusema epl sio pamchezo hata barc na madrid wakitua hapo wanaweza kushuka daraja
 
Huu ni mtazamo wangu , ambao naamini ndio mtazamo wa wengi .

Mpaka kufikia dk ya 79 , Everton 3 - 0 Man city , mwenendo wa timu hii na matarajio ya wapenzi wa timu ni vitu tofauti mno ! Afadhali mara mia Manuel Pellegrin.

Yaliyomkuta Morinho chelsea yanamnyemelea Guardiola , hakuna namna yoyote ya kumbakisha kocha mbovu kwa sababu ya jina lake tu .
 
Badoo hajachelewa anaweza fanya mabadiliko, aligoma Kujaku Chelsea tukalaumu Kumbe alifanya poa cc chelsea kilelen
 
Huu ni mtazamo wangu , ambao naamini ndio mtazamo wa wengi .

Mpaka kufikia dk ya 79 , Everton 3 - 0 Man city , mwenendo wa timu hii na matarajio ya wapenzi wa timu ni vitu tofauti mno ! Afadhali mara mia Manuel Pellegrin.

Yaliyomkuta Morinho chelsea yanamnyemelea Guardiola , hakuna namna yoyote ya kumbakisha kocha mbovu kwa sababu ya jina lake tu .

Guardiola sio mbovu
ni kwamba ni mbishi tu

Style yake ya kucheza haiendani na mabeki wake kina Sagna..
Mabeki wake wote wako above 30 na ni wabovu

Atasajili beki January utashangaa
 
Ni mapema sana kumtabiria Gardiolla na Man city kushindwa, ligi bado mbichi sana, kuna mechi zaidi ya kumi tano kabla ya Ligi kwisha, tofauti kati ya Man City na Anayeongoza ligi ni kama Point Kumi hivi, hivyo lolote linaweza kutokea ukizingatia ligi ni ngumu na Man City wana akiba ya wachezaji wengi sana wazuri, hivyo mbio ndefu za Ligi wanaziweza.

Kwa vyovyote vile itakavyokuwa bado naipa Man City nafasi ya kuwemo Top Four.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom