Kiberiti Kidogo
JF-Expert Member
- Jan 14, 2017
- 575
- 917
Wadau wenzangu wapenda michezo wenzangu ukweli nimemiss sana maneno hayo. Hebu nipeni vionjo vyenu na kumbukumbu zenu juu ya hizo sentesi.
Ni kweli masumbwi huna mvuto?Wadau wenzangu wapenda michezo wenzangu ukweli nimemiss sana maneno hayo. Hebu nipeni vionjo vyenu na kumbukumbu zenu juu ya hizo sentesi.