Jerry Rebiam
JF-Expert Member
- May 22, 2016
- 402
- 358
Wakuu kama kichwa kinavyojieleza hapo juu
Tukio lililoniuma na kuona soccer ni ushenz ni kitendo cha asamoah gyan wa ghana kukosa penalty dhidi ya uruguay
Ardhi yetu wa Afrika
Mpira umebaki dk moja
Robo fainal kombe la dunia
Hatujawai fika semi final kama waafrika yaan nchi yoyote ya Africa
Chance ya pekee kama penalty
Asamoah anapaisha
Kudadekiii nkavunja Tv na kuharibu remote
Nashkuru soka limempoteza asamoah
Ila niliumia