Kwanini Yanga ndiyo waanze kucheza halafu kesho Simba?

wamkodowenye

JF-Expert Member
Aug 26, 2016
261
290
Kuna kamchezo kaibeba simba ili wabebe ligi kuu maana ukifuatilalia toka huu mzunguko uanze kila mechi lazima aanze yanga alafu ndiyo simba afuatie kuna agenda gani inaendelea hapo?
 
Kuna kamchezo kaibeba simba ili wabebe ligi kuu maana ukifuatilalia toka huu mzunguko uanze kila mechi lazima aanze yanga alafu ndiyo simba afuatie kuna agenda gani inaendelea hapo?
Sasa kuna ubaya gani... mbona muoga hivo,... we s unaongoza lakn?
 
Karibia na kwisha kwa ligi utaona kinyume chake naicho unachokisema,itakuwa Simba anamzidi Yanga michezo miwili
 
Mkuu hebu tulia hata tuanze mechi zote kombe ni letu hata mikia wanajua,usiwe na wasiwasi kuna muda tutakua bussy kimataifa wao watakua wanaendelea kupambana kuhakikisha wanatetea nafasi yao ya tatu
 
Kwa Mtazamo Wangu Ratiba hii inaiweka Simba under pressure katika mechi zao Hasa Yanga Wakishinda....
 
83d6afcc85c003672f865a17b24bdfd7.jpg
 
Hata sisi Simba tunajua vipolo huwa vinachacha Tunataka siku zingine tuwe tunaanza sisi sio kila siku nyie ndo muanze
 
Back
Top Bottom