bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,323
- 4,667
Baada ya Pep Guardiola kuja Mancity alimsajili aliyekua kipa wa Barcelona Claudio Bravo na kumtoa kwa mkopo kipa aliyekua chaguo la kwanza na Kipenzi cha Waingereza Joe hart kwenda Torino ya Italy.
Kigezo cha pep Guardiola ni kwamba kipa ni mchezaji wa 11 uwanjani hivyo ni lazima kipa Ajue kutoa pasi kwa wachezaji wake na aliona Bravo ndo anaweza Falsafa zake.
Ila ligi ikiwa katikati tiyari bravo keshafungwa goli nyingi na kuna tetesi Joe hart kurud January pale Etihad.
Hart alikua na Mapungufu yake ya kurekebishika na Pia Bravo naye anamapungufu yake ila kwangu Hart ni Bora zaidi kuliko Bravo.
Maoni yanakaribishwa...