py thon
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 2,476
- 4,447
Klabu ya Azam imenunua kifaa cha kisasa cha kufanyia mabadiliko wachezaji na kuongezea dakika ,kifaa hicho kitakuwa kinatumika Azam complex tu.
Tff kwa miaka sasa wanatumia teknolojia ya hali duni "makaratasi" kufanyia sub na kuongeza dakika za nyongeza,aibu ilioje taasisi ya mpira wa miguu inashindwa na klabu ya soka.
TFF igeni mfano wa Azam,badilikeni mnatuaibisha ase