Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Hatimaye siri ya nini hasa kilisababisha Ronaldinho Gaucho abwage manyanga Barcelona imefichuka. Kwa muda mrefu, manazi wa kiungo mshereheshaji huyo, kama Gang Chomba, wamekuwa wakidai kwamba Pep...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
the best exercise to lose belly fat is crunches "by my experience" Lie flat on your back with your feet flat on the ground, or resting on a bench with your knees bent at a 90 degree angle. If...
0 Reactions
0 Replies
965 Views
Hazard ameweka wazi utofauti mkubwa wa namna ya ufundishaji wa soka kati ya makocha hawa wawili. Mafunzo ya kocha mpya Conte yanaeleweka zaidi kuliko ya kocha wake aliyetangulia Mourinho...
4 Reactions
1 Replies
2K Views
ADEBAYOR SALUTING TOTTENHAM FANS AFTER SCORING IN A PAST LEAGUE MATCH Young Africans are set to make a mega signing to strengthen their squad for the champions league Former Monaco,Arsenal ,Real...
1 Reactions
24 Replies
7K Views
Salaam Wakuu, Hawa Jamaa zetu kipi kimewatokea? au hawajazoea kukaa kileleni? ni nini hasa kinachowakabili? au ndio mishahara ya Mwezi wa 12 haijaingia mpaka saa hizi?... Wenye timu yenu mje...
7 Reactions
34 Replies
5K Views
David Buruhan kipa wa Kagera Sugar na mtoto wa mshambuliaji wa zamani wa timu ya PAN, Abdallah Buruhan amefariki leo Hospitali ya Bugando. Aliugua ghafla wakielekea Singida kwenye mechi ya Kombe...
0 Reactions
47 Replies
10K Views
KIchuya naye alikuwepo,Mwanjali naye alikuwepo,Ajibu naye Alikuwepo,Mkude naye alikuwepo,Kwa Mavugo sijui kama alikuwepo. Majina ya AFRICAN yanaonesha sio majina ya mchezo mchezo ndio naweza...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Salaam wakuu Poleni namajukum yakutwa Naimani sote tuwazima nandivyo Niombavyo Naimani humu ndani kuna wapenzi nawadau wasoka Wengi sanaa naomba kwa eshima na taadhima niweze kuleta ombi...
0 Reactions
4 Replies
949 Views
Kwa mara ya kwanza Tanzania imepangwa kwenye kundi" jepesi" .Kwa maana ya Uganda, Cape Verde na Lesotho. Mara zote tulikuwa tukipangiwa vigogo wa soka Afrika.Tushindwe wenyewe. Njia nyeupe kwenda...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Hii ilikuwa huko Iringa,Refa msaidizi alipoamua kuwatandika vichwa wachezaji "jeuri" waliotaka kumpiga muamuzi wa kati kwa madai kuwa anapeleka mambo kwa upendeleo. Wachezaji hawa wawili walikula...
3 Reactions
39 Replies
5K Views
Mashindano ya Afcon 2017 nchini Gaboni yamegubikwa na uchawi. Jionee mwenyewe hapa
3 Reactions
49 Replies
8K Views
Wakubwa wenzangu mimi ninaamini kwa.miaka yetu ile hii ndio real mardid bora zaidi iliyowahi kutokea duniani..hebu wakuu leta maoni yenu hapa
3 Reactions
44 Replies
7K Views
Leo ntalala usingizi murua vijana wa London arsenal wamenipa raha ushindi wa 2-1 si haba na safari imeanza rasmi
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kocha wa Taifa Stars ametangaza kikosi chake kitakachoivaa Zimbabwe katika mechi ya kirafiki huku Simon Msuva akiwa mchezaji pekee kutoka Yanga. Mkwasa amewachota viungo wapya ambao wengi wao...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Mchezaji wa Yanga, Simon Msuva ametangazwa kuwa mchezaji bora kwa mwezi Oktoba akiifungia timu yake magoli manne na kutoa pasi 5 za mwisho na kuisaidia timu yake kukusanya jumla ya alama 14 katika...
1 Reactions
16 Replies
6K Views
Kitendo Cha Timu hizi Kuogopa mechi kati yao na Mabingwa Wa Afrika no kigezo tosha kua timu hizi hazipo kwenye Level za kimataifa ktk medani ya Soka! Wapo kitaifa zaidi na kulewa ushabiki Wa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Aliyejiuzulu nafasi ya Ukocha wa timu ya taifa ya Tanzania(Taifa Stars) Charles Boniface Mkwassa ameteuliwa kuwa katibu mkuu Yanga Afrika. ======= Mkwasa aula Yanga, atoa neno Klabu ya Yanga...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Nimeamua kufungua page hii special kwa Mbwana sammata ambaye ni Mtanzania pekee na anaeipeperusha
1 Reactions
41 Replies
5K Views
Soka la Tanzania na Afrika kwa ujumla ni kituko linapokuja suala la umri. Wachezaji wengi wamekuwa wakiongopea sana kuhusu umri wao halisi. Wapo wachejazi wakubwa na wanaoheshimika ambao...
7 Reactions
42 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…