Uzamini wa michezo

Chibudee

JF-Expert Member
Dec 28, 2016
1,775
2,400
Salaam wakuu
Poleni namajukum yakutwa
Naimani sote tuwazima nandivyo
Niombavyo

Naimani humu ndani kuna wapenzi nawadau wasoka

Wengi sanaa naomba kwa eshima na taadhima niweze kuleta ombi letu kwenu

Wakuu sisi nivijana wamoshi njiapanda himo tunavipaji na tunajiusisha nasoka

Hakika tunauwezo mzur sanaa wakucheza soka
Natunajituma Ilituweze
Kuiwakilisha Tanzania yetu kitaifa hapo badae katika

Sekta ya mchezo lakini tumekuwa na changamoto zinazo tukabili
Hatuna vifaa vyamazoezi imara kama

Mpira jezi kipenga chamuamuzi sanduku la huduma ya kwanza
Kwadharura uwanjani

Swala linalo tupelekea ndoto zetu kufifia
Tumeona tulete ombi letu kwenu wadau wasoka na watanzania wenzetu

Muweze kutusaidia kupata vifaa hivyo ili tuweze kutimiza ndoto zetu

Hakika kutoa nimoyo wapo mlio jaliwa pesa mnaweza guswa na kutununulia vifaahivyo tajwa

Utakuwa uzalendo na mtatupa murari yakujituma zaidi kuliko kuwa vibaka na chokoraa mitaani

Naomba kutanguliza shukran zangu dhazati
Nategemea majibu mazuri toka kwenu
 
naombakujua jina la team + mnashiriki ligi daraja langapi tafadhali, pia kama unapicha ya kikosi au team siombaya kamautatupiamo
 
naombakujua jina la team + mnashiriki ligi daraja langapi tafadhali, pia kama unapicha ya kikosi au team siombaya kamautatupiamo
Kilototoni fc

Bado hatuja fikia ligi mkuu

Kwasababu bado niwachanga tunajikuza zaidi

Lakini huwa tunashiriki mchi mbalimbali

Za hapa eneo lakwetu tumeomba msaada kupata vifaa ilituweze kufikia

Hatua nzur zaidi

Kuhusu picha ntatuma kesho tutakapo kuwa zoezi
 
Tafuta timu ziwasajili kama kweli mna malengo ya kufika mbali.
Hata mkianzia hapo PANONE sio mbaya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom