Yanga na Simba ni majipu yalioiva vizuri tu

ibanezafrica

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,261
6,552
Kitendo Cha Timu hizi Kuogopa mechi kati yao na Mabingwa Wa Afrika no kigezo tosha kua timu hizi hazipo kwenye Level za kimataifa ktk medani ya Soka!

Wapo kitaifa zaidi na kulewa ushabiki Wa kitaifa zaidi na magazeti/radio za Ndani,lakini wamekosa upeo Wa soka hasa la kimataifa.

Hongera nyingi kwa Azam kwa jinsi ya muundo wenu na jinsi mlivyojiweka ki sasa hakika mtafika mbali.

With kwa Serikali Ya Tanzania mzifutie usajiri timu hizi zisiwepo kabisa kwani hazina lolote zitakaloweza Fanya kwa sasa ukizingatia zipo tangu miaka ya 1934 huko ni ushabiki ushabiki tu usio na Tija,hizi timu ni Majipu!zitumbuliwe
 
Kugoma kucheza na hao Wasauzi ndio wamefanya kosa?

Ulishawahi kuona Ulaya wanacheza mechi za kirafiki wakati ligi inaendelea? Wewe uliyoandika yanaonyesha kabisa wewe ni jipu unafaa kutumbuliwa
 
Timu inakuja katikati ya ligi eti kwa kuwa ni bingwa wa Afrika, basi timu zetu zijitose tu.

Yanga na Simba zina tofauti ya point moja. Kila mchezo wa ligi ni muhimu sana. Kuna wachezaji kuumia. Kuna muda wa kupumzika baada ya mechi. Kuna program za makocha zinaendelea.

Yanga na Simba wamefanya maamuzi ya busara sana.

Azam hawana matumanini hata nafasi ya pili. Acha wao wa risk wachezaji wao.
 
ww ndio ambae uliipeleka azam kwenye bonanza mwaka jana kat kat ya ligi.hata hivyo mikia wametufuatisha wa kimataifa dk za mwishoni.had jana taarfa zlkuwa znasema wamatopen wanacheza na mamelodi.
 
Kitendo Cha Timu hizi Kuogopa mechi kati yao na Mabingwa Wa Afrika no kigezo tosha kua timu hizi hazipo kwenye Level za kimataifa ktk medani ya Soka!

Wapo kitaifa zaidi na kulewa ushabiki Wa kitaifa zaidi na magazeti/radio za Ndani,lakini wamekosa upeo Wa soka hasa la kimataifa.

Hongera nyingi kwa Azam kwa jinsi ya muundo wenu na jinsi mlivyojiweka ki sasa hakika mtafika mbali.

With kwa Serikali Ya Tanzania mzifutie usajiri timu hizi zisiwepo kabisa kwani hazina lolote zitakaloweza Fanya kwa sasa ukizingatia zipo tangu miaka ya 1934 huko ni ushabiki ushabiki tu usio na Tija,hizi timu ni Majipu!zitumbuliwe
Kweli aisee! Hawajui kwamba kuna ruhusa mahsusi kwa Mabingwa wa Afrika kutofuata ratiba ya FIFA ya mechi za kirafiki, kama ni upendeleo maalum kwa Tanzania na heshima mahsusi kwa mabingwa hao!
 
Kugoma kucheza na hao Wasauzi ndio wamefanya kosa?

Ulishawahi kuona Ulaya wanacheza mechi za kirafiki wakati ligi inaendelea? Wewe uliyoandika yanaonyesha kabisa wewe ni jipu unafaa kutumbuliwa
Yaani bado kuna nyie watz mna imani na hawa watani Wa jadi?wewe timu kucheza mchezo Leo halafu uje cheza baada ya Siku4/5_unaathirika na nini kama si woga?...Fc Barcelona wamecheza na R.BeatisJumapili watoka Draw ya 1-1 ,Kesho Jmatano wanacheza na Atretico Madrid,Copa del ley..mechi ngumu kabisa,lakini watacheza haya tokea Jumapili hadi jumatano ni Siku ngapi hizo za kupumzika?
 
Acha kuongea pumba kama hujui bora ukae kimya Barcelona hawajacheza mechi ya kirafiki,zote hizo ni mechi za mashindano.Mechi za kirafiki huchezwa kabla ligi haijaanza au ligi ikiwa kwenye mapumziko na inakuwa inajulikana,wiki iliyopita hakuna mtu alikuwa anakuja Mamelodi wanakuja hapa Tanzania
 
Back
Top Bottom