Companero
Platinum Member
- Jul 12, 2008
- 5,606
- 1,711
Hatimaye siri ya nini hasa kilisababisha Ronaldinho Gaucho abwage manyanga Barcelona imefichuka. Kwa muda mrefu, manazi wa kiungo mshereheshaji huyo, kama Gang Chomba, wamekuwa wakidai kwamba Pep Guardiola ndiye aliyemtosa kama alivyomtosa Yaya Toure.
Mkongwe huyo ambaye amegoma kutundika daluga licha ya kiwango chake kuisha, sasa amekiri kwamba tatizo halikuwa Pep bali ni yeye kwa kuwa hakuuweza tena mwendokasi wa Barca. Kila zama na kitabu chake na kila kizazi na mchezaji wake. Hizi sasa ni enzi za Lionel 'Inzi' Messi!
Ronaldinho: Pep Guardiola wanted me to stay at Barcelona