Hio ndio Real Madrid iliyowahi kuwa bora zaidi duniani

ketone

JF-Expert Member
Jan 22, 2016
508
622
Wakubwa wenzangu mimi ninaamini kwa.miaka yetu ile hii ndio real mardid bora zaidi iliyowahi kutokea duniani..hebu wakuu leta maoni yenu hapa
1483796824489.jpg
 
Kipindi hiki kilikua lulu kwelikweli, ila hii timu imependelewa hakuna mwaka inakua mbovu kabisa japo hua inapitia vipindi vigumu...
 
Hapo kulikuwa kuna watu hatar wapo benchi kama Steve mc macmanaman, Fernando Redondo, makelele,
 
Sababu wachezaji bora Wa timu kubwa walikuwa wamejoin timu kubwa.. Usinikumbushie Juventus ya kina Vieri,Jugovic,Peruzzi, Del Piero,Ravanelli,Conte,Lombardo,Deschamps, Paulo Sousa,Di Livio,
 
Sababu wachezaji bora Wa timu kubwa walikuwa wamejoin timu kubwa.. Usinikumbushie Juventus ya kina Vieri,Jugovic,Peruzzi, Del Piero,Ravanelli,Conte,Lombardo,Deschamps, Paulo Sousa,Di Livio,
ahaaa
.ila dechamps alitokea chelsea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom