Turnkey
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 7,359
- 5,834
Kwa mara ya kwanza Tanzania imepangwa kwenye kundi" jepesi" .Kwa maana ya Uganda, Cape Verde na Lesotho. Mara zote tulikuwa tukipangiwa vigogo wa soka Afrika.Tushindwe wenyewe. Njia nyeupe kwenda Cameroon hata Kwa best looser. Kila la heri Taifa stars.