Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Mapema kesho mabingwa na washindani katika mashindano ya klabu bingwa barani Afrika, watawasili katika uwanja wa ndege wa J.K.Nyerere majira ya saa nne na nusu asubuhi. Shime nyote mapema kesho...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Unaweza sema nini katika matokeo ya mpira wa leo? Barcelona 0 - 4 PSG dakika ya 85
1 Reactions
46 Replies
5K Views
Leo kuna mechi kali kati ya arsenal vs bayani Munich ni chaneli gani ambayo inaweza kurusha mechi hiyo katika ving'amuzi vya startimes na azam nipo eneo gumu dstv kupata ni changamoto eneo hili...
0 Reactions
0 Replies
669 Views
PASS YA IBRAHIM AJIBU vs TZ PRISONS Na prof. Mikazo Jana kulikuwa na mchezo mkali sana wa wa ligi kuu ya vodacom mabingwa wa muda wote wa CECAFA dhidi ya TZ Prison na Simba kuibuka na ushindi...
15 Reactions
57 Replies
8K Views
Ndiyo, Manji anataka kuinunua Yanga na pamekuwa na figisufigisu kibao. Naliangalia timbwili hili la vita ya mihadarati kama mtihani kwa wana Yanga juu ya sifa na maadili ya mteja wao mtarajiwa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Ndiyo hivyo tena,vita hii inayoendelea pamoja na mambo mengine lkn upo mkono wa mtoto wa mstaafu mkubwa wa nchi atakaye bwana Manji aondoke ktk klabu hiyo na tayari alishawashawishi jamaa zake...
1 Reactions
49 Replies
8K Views
0 Reactions
1 Replies
810 Views
Tarehe 21 Jan, Kimondo iliiandikia TFF barua kuomba pesa zao za FA ili zitumike kusafirisha timu kwenda Ruvuma kucheza na JKT Mlale. Feb 4, Kamati ya TPLB ikakaa na kuishusha Kimondo FC...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Haya haya tena , wakuu kama tunavyofahamu leo ndio ile fainali tuliyoisubiri kwa muda mrefu . Karibuni . ................................. Cameroon wamefanikiwa kuchukua ubingwa na kombe la...
1 Reactions
147 Replies
15K Views
Really captivating story-amazing. Trending: THE SHOCKING CONFESSIONS OF A KENYAN UBER TAXI DRIVER
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Team yetu ya Yanga ipo comoro. Najiuliza imemwacha manji dar au alifanikiwa kuachiwa wakaenda naye?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Tupo live uwanja wa taifa hapa kukuletea matangazo ya moja kwa moja ya Moira kati ya Simba Taifa kubwa na Tanzania Prison ya Mbeya Mpaka sasa Dakika ya 42 mpira ni mkali sana na Simba inaongoza...
3 Reactions
48 Replies
9K Views
Kuna matangazo yanatolewa na wakuu wa wilaya na mikoa kuwa siku ya jumamosi ni siku ya mazoezi, kutakuwa na mchaka mchaka hii yote ni kujenga afya za watanzania. Kwa Dodoma utaanzia bungeni hadi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ukiangalia mapokezi Aliyopata Sadio Mane Mchezaji wa Liverpool Raia wa Senegal aliyekosa Penati dhidi ya Cameroon utajua kwamba Wazungu wameanza kutambua michango ya watu Weusi anzia kwenye mpira...
3 Reactions
25 Replies
6K Views
Wakuu nahitaji kujua unapobet online na ukashinda hasa sisi watu wa mikoani pesa unaipataje?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna audio inasambaa Whatsapp muongeaji ana sauti kama ya Jerry Muro akiwa anataja watumiaji wa madawa. Naomba mliokutana nayo hiyo ni sauti yake ama wametengeneza, wasije mchafua kijana wa watu...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
League tight kuwania kushiriki Uefa.. sio ubingwa.. 2.Spurs 50 3.Arsenal 50 4.Man city 49 5.Liverpool 49 6.Man united 48 hapo mtu akizubaa tu amekuwa wa sita:):):):)
1 Reactions
1 Replies
841 Views
Raisi mpya wa FIFA Gianni Infantino anaonekana kutaka kubadili sola kabisa.Infantino anaonekana kuondoa kila kitu cha Sepp Blatter na kuleta vyake.Baada ya kuongeza timu zitakazoshiriki kombe la...
9 Reactions
105 Replies
15K Views
Na Cosmasy Choga Siku moja baada ya mkuu wa mkoa wa Dar es salaam kutaja orodha ya watu wanaodaiwa kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya akiwemo mwenyekiti wa yanga Yusuph Manji...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…