2017 Afcon Final - Egypt vs Cameroon. Cameroon wamechukua ubingwa kwa kushinda kwa magoli 2-1

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
73,429
2,000
Haya haya tena , wakuu kama tunavyofahamu leo ndio ile fainali tuliyoisubiri kwa muda mrefu .

Karibuni .

.................................

Cameroon wamefanikiwa kuchukua ubingwa na kombe la mataifa ya Africa kwa mwaka 2017 baada ya kushinda kwa magoli mawili kwa moja dhidi ya Egypt

Full Time: Egypt 1 - Cameroon 2

90' Egypt 1 - Cameroon 2

88' Vincent Aboubakar anaifungia Cameroon goli la pili

65' Egypt 1 - Cameroon 1

59' Nicolas Nkoulou anaifungia goli Cameroon

50' Bado Egypt wanaongoza kwa goli moja

Kipindi cha pili kimeanza

Half time still 1-0

30' Egypt 1 - Cameroon 0

22' Mohamed Elneny anaipatia Egypt goli la kwanza

- Goma limeanza dk 1 imekwenda

Updates - Timu zimejipanga , tayari kwa kuingia uwanjani .

- Kinyume na matarajio ya wengi , Egypt wanataka kumaliza biashara mapema sana .
 

Mlaleo

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
11,216
2,000
Chama langu la Siku Zote Egypt Piga Mbuzi hao Cameroon bao zaidi ya 3 bila majibu

Watu wengi hawangalii how soccer linavyochezwa wao rangi za Ngozi tu... Egypt huwa hainiangushi kuliko hawa waswahili... Huwa Nabakigi Mshabiki peke yangu na lazima nitoke kidedea
 

shiu yang

JF-Expert Member
Sep 16, 2016
3,019
2,000
Chama langu la Siku Zote Egypt Piga Mbuzi hao Cameroon bao zaidi ya 3 bila majibu

Watu wengi hawangalii how soccer linavyochezwa wao rangi za Ngozi tu... Egypt huwa hainiangushi kuliko hawa waswahili... Huwa Nabakigi Mshabiki peke yangu na lazima nitoke kidedea
Kama mimi ili niwe mshabiki wa timu fulani lazima niangalie rangi kama weusi hata kama hawajui kucheza nitawasapoti,
Vivyo hivyo kwa soccer club za nje kama ina weusi wengi basi ndio huwa nakuwa shabiki wao
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom