Kuwasili kwa Yanga

Tinde nsalala

JF-Expert Member
Feb 12, 2017
248
253
Mapema kesho mabingwa na washindani katika mashindano ya klabu bingwa barani Afrika, watawasili katika uwanja wa ndege wa J.K.Nyerere majira ya saa nne na nusu asubuhi.

Shime nyote mapema kesho tuelekee uwanja wa ndege tukawalaki kwa kutimiza vyema wajibu wao huko COMORO.
 
Naona unawawakilisha vizuri sana wana Nsalala,nipo maeneo Tinde mida hii naelekea Didia,nawatakia kila la kheri wawakilishi wetu,Mungu awatangulie katika safari yao na awajalie wafike salama Dar.
 
Aibu kwa SoKa la Bongo!
Timu Kubwa na kongwe Simba na Yanga kukosa viwanja Vyao vya Mpira wa Miguu,Ujanja Ujanja Mwingi Hakika Mnatia aibu Mno,Soka la Bongo Pasua Kichwa!

Btw;Hongereni kwa Ushindi.
 
Hii hoja yako wapelekee viongozi,,
 
Wabongo bwana..Ac Milan na inter Milan wanatumia uwanja was San siro unaomilikiwa na manispaa ya Milan..nashangaa hata vilaza wa clouds radio/Tv wanaongelea sana ..Tembea duniani
 
Hata Roma na Lazio hawana viwanja. Uwanjani wa Olympico unamilikiwa na municipal.
 
Back
Top Bottom