Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 56,667
- 30,585
Kuna audio inasambaa Whatsapp muongeaji ana sauti kama ya Jerry Muro akiwa anataja watumiaji wa madawa.
Naomba mliokutana nayo hiyo ni sauti yake ama wametengeneza, wasije mchafua kijana wa watu.
Kingine marafiki konyoo msiwaamini sana, ukisikia ni kama mtu anamhojiwa na mwingine anamrekodi bila kujua.
Wewe uliesambaza, Lord anakuona.