Tinde nsalala
JF-Expert Member
- Feb 12, 2017
- 248
- 253
Ndiyo hivyo tena,vita hii inayoendelea pamoja na mambo mengine lkn upo mkono wa mtoto wa mstaafu mkubwa wa nchi atakaye bwana Manji aondoke ktk klabu hiyo na tayari alishawashawishi jamaa zake (GSM) waingie na waendeleze ufadhili ktk klabu hiyo.
Ni suala la mda tu,lkn ukweli ni huo.Mbambe wa mkoa yeye ni chambo tu na wenye kazi yao ni hao hapo juu niliowataja.
Ndiyo maana nasema,KWA HERI MANJI YANGA NA KARIBU GSM YANGA.
Ni suala la mda tu,lkn ukweli ni huo.Mbambe wa mkoa yeye ni chambo tu na wenye kazi yao ni hao hapo juu niliowataja.
Ndiyo maana nasema,KWA HERI MANJI YANGA NA KARIBU GSM YANGA.