Yanga imeondoka bila Manji?

Sodoku

JF-Expert Member
Feb 3, 2016
1,259
2,861
Team yetu ya Yanga ipo comoro. Najiuliza imemwacha manji dar au alifanikiwa kuachiwa wakaenda naye?
 
Sidhani kila yanga inaposafiri hua inasafiri na manji kwani ulishamuona game ipi huko nje?tukumbushane hata kwa picha tu
 
MANJI TUMEMUACHA NA DONALD NGOMA HAPA BONGO...


MWALIMU LWANDAMINA AMESEMA KATIKA MCHEZO DHIDI YA WACOMORO HATOKUWA NA NAMBA KWAKUWA NAMBA YAKE INAWACHEZAJI KAMA CHIRWA, tAMBWE NA MAHADHI...


ILA KIZURI NI KWAMBA MABINGWA HAWA WA KIHISTORIA WAMEFANIKIWA KUMPIGA MTU ''MKONO'' HUKO UGENINI ...SSA KAMA MANJI ANGEKUWEPO NADHANI MTU ANGEPIGWA ''MIKONO MIWILI''.
 
Back
Top Bottom