Barcelona kafia PSG

Haya matokeo yamenishangaza sana, sikutegemea kabisa wale Wafaransa wavune kapu la magoli kiasi hiki. Je, BARCA wana uwezo wa kuwapiga 5-0!? Uwezo huo wanao lakini je wataweza!? That's why we play/watch this very beautiful game. Tutege masikio na macho yetu.
 
Kiongozi.

Pamoja ya kuwa chochote kinawezekana kwenye Kabumbu.

Hapana, BARCA ana Kazi ngumu sana.

Na ukumbuke Goli moja la PSG linaharibu matumaini yote ya BARCA.

Kwa kweli CAMP NOU patachimbika
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hiyo si game ya kukosa itakuwa patashika nguo kuchanika.

Kiongozi.

Pamoja ya kuwa chochote kinawezekana kwenye Kabumbu.

Hapana, BARCA ana Kazi ngumu sana.

Na ukumbuke Goli moja la PSG linaharibu matumaini yote ya BARCA.

Kwa kweli CAMP NOU patachimbika
 
Haya matokeo yamenishangaza sana, sikutegemea kabisa wale Wafaransa wavune kapu la magoli kiasi hiki. Je, BARCA wana uwezo wa kuwapiga 5-0!? Uwezo huo wanao lakini je wataweza!? That's why we play/watch this very beautiful game. Tutege masikio na macho yetu.
Usisubiri embe chini ya mnazi draxler ni kiumbe hatari kuna neymah kumi na ndani ya de maria messi saba ,Barca anakufa tena Emily sio wa mchezo mchezo
 
Haya matokeo yamenishangaza sana, sikutegemea kabisa wale Wafaransa wavune kapu la magoli kiasi hiki. Je, BARCA wana uwezo wa kuwapiga 5-0!? Uwezo huo wanao lakini je wataweza!? That's why we play/watch this very beautiful game. Tutege masikio na macho yetu.
barca ndo kishaaga kwa aina ya mpira na wachezaji alionao psg sioni ni vipi watashindwa kufunga pale nou camp kuna hatari ya kupigwa nje ndani barca imekufa iniesta kishazeeka hakuna viungo wa maana kama zamani
 
Naona enzi za u sultan kipingo wa barca unaelekea ukingoni bila kufanya reshuffle ya nguvu timu hii itabaki hivi hivi toka msimu wa mwaka juzi imekuwa inasua sua back line yao ilikuwa inaonekana nzuri sababu kiungo kilikuwa haijambo sasa kiungo nacho kimekufa tutashuhudia mengi.
 
Messi amechoka...barca ilikuwa one man show....wameshatoka...Enrique afukuzwe..4 G sio mchezo
 
Tusishangae kuona hii timu inafumuliwa msimu ujao na Messi kuuzwa lakini nani atamtaka messi wa 2017!? Labda aende China.

Back
Top Bottom