johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 94,124
- 164,525
Ndiyo, Manji anataka kuinunua Yanga na pamekuwa na figisufigisu kibao. Naliangalia timbwili hili la vita ya mihadarati kama mtihani kwa wana Yanga juu ya sifa na maadili ya mteja wao mtarajiwa.
Ikumbukwe Yanga ina historia kubwa ikiwepo kuwa kiungo muhimu katika harakati za kudai uhuru. Hivyo ukodishaji wake sharti uendane na kuenzi historia hiyo ukiwemo uzalendo na uadilifu.
Pia vilabu vingine vijifunze kupitia Yanga na hasa namna ya kuwapima wafadhili wao tusifike pahala tukakuta badala ya kusajili wachezaji tunasajili "punda." Mungu ibariki Dar Young Africans na tena Mungu mbariki RC wa Dar, Makonda.