Three explosions have hit a bus carrying the Borussia Dortmund football team to their home Champions League quarter-final match against Monaco.
Spain international Marc Bartra was taken to...
Kwa kweli imefika Mahali hizi timu zetu ziwe na vyanzo vyao binafsi vya kudumu vya mapato,haiwezekani timu zinazjiita wa Kimataifa halafu mchezaji anagoma eti Timu imeshindwa kumlipa mshahara...
Under Taker ni mmoja kati ya wanamieleka bora kuwahi kutokea katika WWE akiwa ameshawahi kubeba karibia mikanda yote ya mchezo huo, huku pambano lake la kwanza ikiwa mwaka 1984.
nadhani shabiki...
Mchezaji wa timu ya Kagera Sugar FC, Mbaraka Yusuph Abeid amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Vodacom wa mwezi Machi kwa msimu wa 2016/2017.
Mbaraka aliwashinda wachezaji Abubakar...
Habari wadau,
Mimi ni shabiki wa soka. Huwa naangalia mechi zote za mataifa makubwa Ulaya na soka la Bongo nikiwa naishabikia Kagera Sugar.
Sasa katika soka la Ulaya kuna mchezaji matata...
Naona mmejawa na furaha! Endeleeni tu kufurahia.....
Ila napenda kuwakumbusha kuwa kwenye Msimamo wa VPL mko nyuma ya YANGA SC kwa zaidi ya alama 1.....
The fact that
1. Uko nyuma kwa zaidi...
Wakuu kwa anae jua Chanel itakayo oshesha mechi Kati ya Barcelona na juventus kwenye application ya MOBDRO anisaidie tafadhari
Au application yoyote itakayo stream live Hiyo mechi
Ukurasa wa Twitter wa Shirikisho la Soka Barani Ulaya(UEFA) waweka picha ya Mtanzania, Mbwana Ally Samatta na kumtaja kuwa ni mchezaji wa kuangaliwa. -
Mshambuliaji huyo hatari amefunga magoli...
Nakusogezea live updates kutoka Mwanza CCM Kirumba katika ya Mbao FC vs Simba SC
======
MWANZA: Mchezo umekwisha na Simba wameibuka na Ushindi wa bao 3-2 dhidi ya Mbao FC iliyokuwa inaongoza kwa...
Akili, mwili na mtizamo hufanya kazi kwa pamoja na ushirikiano ili kufanikisha jambo flani... akili na mtizamo vikiwa katika hali mbaya basi hata mwili utashindwa kutuonyesha kilicho bora, Ndivyo...
Abdi Banda wa Simba amesimamishwa - WILLYD HABARI
Beki wa kati wa wekundu Msimbazi Simba leo Jumapili ya April 9 2017 taarifa zilizotolewa kutoka katika kamati ya saa 72 ni kuwa amesimamishwa...
Wadau labda kwa kuwa mimi si mpenzi wa mpira wa miguu kivile, nashangaa kuwakuta vijana wenzangu wakibishana kwa kauli kama hii, "nakufunga leo huniambii kitu mimi" huku timu anayoitetea hana hisa...
Simba wamemkatia rufaa mchezaji muhamed fakhi wakidai alicheza akiwa na kadi tatu za njano baada ya kupigwa miwa miwili kule kagera hivyo wanataka wapewe point 3.
Mechi imechezwa jumapili lkn...
Salam wana JF.
Kuna taarifa inasema Mtangazaji nguli wa michezo hapa nchini na aliyepata kuwa msemaji wa Club ya Simba Clifford Mario Ndimbo amefukuzwa Radio Times Fm ambapo ndio alikuwa...
Kamati tendaji ya Tff imetangaza kuwa uchaguzi mkuu utafanyika jumapili tarehe 12/08/2017 ambapo uchaguzi huo utakuwa kuwachagua rais wa shiriko la mpira wa miguu Tanzania Tff na makamu rais wa...
ANGALIZO KWA RAIS WA TFF JUU YA HAYA YANAYOENDELEA KUHUSU SIMBA.
''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''
Imeandikwa na
Said Ngulipa
Kwanza kabisa nakupa pole na majukum ya kuusogeza...