Mbungi imepigwq sana leo. Top competitive football match. Timu zote zimeonesha kutaka ushindi. Inaweza kuwa mechi bora hata zaidi ya derby ya kariakoo msimu huu. Zile story za undygu nadhani leo...
Kiungo wa Simba Fabrice Ngoma hatakuwa msimbazi msimu ujao, Ngoma anaondoka Simba akiwa hajatwaa Taji kubwa kama ligi kuu au FA.
Taarifa zisizo rasmi zinasema Fabrice Ngoma atajiunga na Moja ya...
1. Mechi ilikuwa nzuri mno na ya ushindani kuliko hata ile na Simba, kilichowaharibia Singida ni udhamini wake kwa GSM.Ukikubali kuvaa jezi yenye nembo hiyo hata ucheze namna gani lazima ufungwe...
Kwa haraka haraka jamaa ni mtu anayependa attention kutoka kwa marefa na hata kutoka kwa mashabiki pindi awapo uwanjani. Akikosa attention huitafuta kwa namna yeyote haijalishi kwa kujirusha...
NAJUA NAWAKERAAA
OMBI LANGU TU SISI WANA SIMBA WOTE TUUNGANE KUISHABIKIA YANGA LEO NEW AMAN STADIUM
crdb final
HAWA SINGIDA WALICHOTUFANYIA SIO KIZURI KABISAA KABISAA
sisi SIMBA MOJA
Mtoto wa Hamisa Mobetto, Dylan Deetz, amejiunga rasmi na Juventus Academy Tanzania kama balozi. Hamisa Mobetto alieleza furaha yake kupitia Instagram, akisema:
Juventus Academy Tanzania...
Kwa wasiofahamu, Murtaza Mangungu ni mmatumbi wa Kilwa Kaskazini, kwao ni Kipatimu kule kulikoanza vita ya Maji Maji, Mangungu amekuwa mbunge wa jimbo la Kilwa Kaskazini, baadae akaangushwa na...
“Hatuwezi kuogopa kucheza na Yanga kisa walimgunga Simba, huyo Simba hata sisi ni my wetu maana tulimfunga nyingi kuliko hata Yanga”____Afisa Habari wa Singida Black Stars Hussein Massanza...
Viongozi wa Simba wanawalipa wachambuzi ili wamchafue Fabrice Ngoma"
Fausty Mkandila, wakala wa Fabrice Ngoma.
Maoni yangu : hili linawezekana kwa asilimia mia kama waliweza kumlipa Mgana...
Mm nafuatilia nyendo zako za kisiasa, Kama nilivyoripoti hapa jamiiforums juzi kuwa Mangungu angechukua fomu jumamosi kWa ajili ya kuomba ridhaa ya kuwania ubunge wa jimbo la kilwa kaskazini...
I will be short
Nitasimama kwenye haki, na kwenye haki Mangungu hana makosa kabisa. 1 good reason, Mangungu hana Sauti kubwa Simba kama mashabiki wanavyodhani, In short bodi inayoteuliwa na...
Mungu kajalia mechi ya Simba na Yanga ndiyo iliyoamua ubingwa. Mungu amejalia pia timu inayodhaminiwa na GSM imeifunga timu ambayo imekataa kudhaminiwa na GSM kwenye mechi ya maamuzi nani awe...
Inashangaza sana kuona mtu anakaa kudai eti Yanga imeshinda kwa ubora. Ukweli ni kwamba kuna mambo ya ndani kwa ndani huko Simba yanayopelekea kupigisha timu shoti na hata mgomo baridi wa...
Hello!
Bila kupoteza muda.
Bingwa wa CAF CHAMPION LEAGUE atakua Pyramids FC baada ya kumshinda Al Ahly kwenye fainali.
Bingwa wa CAF Confederation cup atakuwa RS BERKANE baada ya kumpiga Gori...
Mangungu pale Simba ni sawa na jibwa lisilo na meno
Mashabiki wa Simba ambao hawaijui hata kurasa 1 ya katiba ya Simba ndo hutokea na kumlaumu Mangungu pale timu inapofanya vibaya
1. Mangungu...
Bado GENTAMYCINE naendelea Kuipongeza Yanga SC kwa Kutufunga hivi juzi (na kwa mara ya Tano mfululizo) na Kutwaa Ubingwa wa NBC Premier League ila kwa KUJIAMINI kabisa ninapingana na Watu ambao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.