Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

MJIANDAAE KUKERREKAAA SISI NDUO YANGAAA WANA KUWAKERAAAA TUKUTANE NEW AMAN STADIUM
4 Reactions
4 Replies
254 Views
Katika tasnia ya michezo nchini Tanzania, jina la Eng. Hersi Said limeendelea kung’ara kama mfano wa uongozi bora, ubunifu, na maendeleo ya kweli. Kupitia nafasi yake kama Rais wa Klabu ya Yanga...
1 Reactions
10 Replies
656 Views
NIANZE KUWAPONGEZA SIMBA SC KWA UTHUBUTU WA KUINGIXA TIMU MENGI YALISEMWA LAKN WAMETHUBUTU KUINGIZA TIMU PILI NIWAPONGEZE KWA KUPUNGUZA IDADI YA MAGOLI WANA YANGA WENGI TULIINGIA NA MATOKEO YA...
2 Reactions
0 Replies
256 Views
Wakuu ni nani humu ambae ni fundi wa 8 ball pool team nimuadd rafiki tukichafue.
0 Reactions
0 Replies
181 Views
Wakuu mpo! Mwaka 2024 nilitabiri Hersi atagombea ubunge mwaka 2025...
1 Reactions
5 Replies
595 Views
Mpira wa Africa haupo stable na haupo serious. Licha wa Africa wengi kuwa na wendawazimu wa mpira labda uongozi wa mpira Africa ni kama Wana project yao tofauti na matarajio wa watu wengi. Na...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Aziz Ki mfumo umemkataa kabisa pale Wydad Casablanca, hapewi nafasi kabisa kuna uwezekano mkubwa akaondoka na kurudi Yanga kama watakuwa wamejipanga kumrudisha Wydad hawathamini kabisa uwezo wa...
10 Reactions
55 Replies
3K Views
Wana Simba SC tutazunguka kila Kona, tutasema kila Maneno, tutatafuta Mchawi / Wachawi kila pembe ya dunia, Tutalaumiana mno, tutachukiana sana wenyewe kwa wenyewe ila Leo hii namaliza rasmi Utata...
22 Reactions
53 Replies
3K Views
Na GENTAMYCINE nina TAARIFA za uhakika kuwa yule MNAFIKI Mstaafu wa Chalinze Bagamoyo Kawe Beach katika moja ya Mkakati wake mkubwa nawe dhidi ya Simba SC alikuhakikishia kuwa hakikisha wana Simba...
0 Reactions
3 Replies
507 Views
1. Kiungo mkabaji Kelvin Nashon anatakiwa Young Africans 2. Kiungo Mshambuliaji Foday Trawally anatakimmowa na Simba SC 3. Larry Bwalya anawindwa na Singida Black Stars na Pamba Jiji 4. Kiungo...
15 Reactions
474 Replies
84K Views
Mimi sio mshabiki wa Murtaza Mangungu na simpendi kabisa kabisa, kwa sababu hana lugha nzuri, hata sijui kwa wananchi wake jimboni pale Kilwa Kaskazini anawajibu kama anavyowajibu wanachama...
5 Reactions
5 Replies
695 Views
GT. Venance alikuwa ni namba sita machachari kweli kweli alikuwa tegemeo kubwa sana la timu yake . Kile kitendo cha kukosa goli la wazi akiwa yeye na golikeeper kimeigharimu timu yake hadi leo...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Nimecheka sana baada ya kuiona video hii ya bwana mdogo akilia huku akitoa maneno nataka kuhamia Yanga Hii yote inatokana na mateso ya kufungwa timu yake ya Simba, kwahiyo dogo kaona ya nini...
4 Reactions
4 Replies
472 Views
I will be short list yangu ya matapeli since 2014 - 1. Vítor Salvador (Jul 2014 - Jun 2015) 2. Goran Kopunovic (Jan 2015 - Jun 2015) 3. Dylan Kerr (Jul 2015 - Jun 2016) 4. Pierre...
5 Reactions
33 Replies
2K Views
Leo katika historia, Itachukua miaka 20 ndipo simba ichukue ubingwa kwa sababu hawana akili hawashauriki pablo franco" Simba haitakuja kubeba ubingwa Hadi miaka 10 ipite ....kama GSM yupo..."...
9 Reactions
15 Replies
989 Views
Nilisema toka mwanzo kwamba mpira wa Afrika umeporomoka sana na ndio maana hata vilabu hivi vya Tanzania vinaonekana kimakosa kwamba ni vizuri. Ukiangalia jinsi vilabu vinne vya Afrika vilivyo...
2 Reactions
5 Replies
557 Views
Kutokana na kiwango kisichoridhisha cha hii timu ni dhahiri msimu huu hii timu haiwezi kuwa bingwa kwenye mashindano yoyote inayoshiriki. Kuna uwezekano mkubwa Yanga akatetea makombe ya Crdb...
10 Reactions
36 Replies
2K Views
Aziz Ki bado ana nafasi ya kurejea Yanga Aziz Ki alijiunga na Wydad kwa mkopo mfupi wenye kipengele cha kununuliwa mazima kabla ya tarehe 10/07/2025. Makubaliano ya Yanga na Wydad ni kulipwa...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
I will be short. club world cup updated points ni points za caf champions league tu. in short team za caf confederation cup hazipo. hii ndo list za point accumulated for fifa 2029 club World...
3 Reactions
54 Replies
3K Views
JKU VS Yanga SC | Fainali Kombe la Muungano | Mei 1, 2025 Mchezo unaendelea Goooooooooooooo! Max Mpia anawapatia goli la kwanza Yanga Yanga anakuwa bingwa wa kombe la Muungano 2025 Go
1 Reactions
42 Replies
4K Views
Back
Top Bottom