Mgombea wa nafasi ya Urais wa TFF, Dkt. Mbete Mshindo Msolla leo Julai 2 atafanyiwa interview na Kamati ya Uchaguzi pale kwenye ofisi za shirikisho la soka nchini TFF.
Interview yake ya uchaguzi...
Kocha mkuu wa Simba amezungumza kuelekea mchezo wa Dabi nakumesema.." Labda watacheza kwa ajili ya sare, labda wataamua kubaki nyuma na kucheza kuipata sare maana bila shaka wakipata sare watakuwa...
Winga wa zamani wa Yanga SC raia wa Afrika Kusini, Mahlatse ‘Skudu’ Makudubela amejiunga na Wiliete Sport Club de Benguela ya Angola baada ya kuachana na AS Vita ya DR Congo.
Makudubela mkataba...
Baada ya miaka kumi kupita huku ikibaki mechi moja tu msimu wa 2022/2023 bundesliga kuisha mtanange wa kuwania kombe la ligi hiyo kati ya bayern munich na borussia dortmund umezidi kunoga...
Yanga kama mbabe wa mpira wa Tanzania imedhamiria Kwa dhati kusafisha pale TFF na bodi ya ligi, Sasa nguvu time imehamia Kwa Wallace Karia
CEO wa Yanga Andre Mtine ameandika barua kwenda kamati...
Nyota wa Yanga, Kibwana Shomari, Dickson Job na Abuutwaleeb Mshery wamepanga kutoa msaada wa bima za afya kwa watu 500 mkoani Morogoro kupitia tamasha lao la Wape Tabasamu 2025
Kilele cha tamasha...
Simba hii ya mwaka 2025 ni Simba ya maajqbu.
Imefanya mambo yaliyofanywa na baba zao miaka 32 iliyopita.
Kwangu Mimi Simba hii ni moja kati ya kikosi Bora kabisa Cha Simba,hii ni Kwa sababu ya...
Wengi wanaponda upangaji wa kikosi wa mwalimu fadlu davis mbinu zake,kwanza kabisa mimi sio shabiki wala mpenzi wa klabu ya simba mimi ni shabiki na mwanachama wa Coastal union mangushi ya Tanga...
Kuna watu wanashupaza shingo zao hadi zinakaribia kukatika na wengine wanajipa matumaini hewa kuwa labla katimu kao ambako kanaenda kama gari bovu kanaweza kuchukua ubingwa wowote msimu huu. Huku...
Hoja.
Wengi wanaogopa kusema kwa sababu hizi timu mbili Zina nguvu kubwa. Yaani kama ni Mungu basi ungekuwa Ibada lakini ukweli ni kwamba ulucifer ni hali ya juu sana.
Mimi kama Mimi sipendi...
Pamoja na kwamba nilishalisema hili kitambo sana kuwa Simba inaenda kuwa bingwa wa CAF msimu huu, siku hizi chache nilikaa kimya kuhusu hili ili kwanza nijihakikishie baadhi ya mambo.
Nimerudi...
SIKU YA MECHI KALI.
VIKOSI VINAVYOANZA LEO.
p
UPDATES.....
4:15pm Kandanda imeanza tayari,
Game inapigwa zazuri kabisa.
DK 2
Simba wanafanya move nzuri hapa, inababatizwa na Mchezaji wa FG...
Tuweke mengine yote pembeni tuangalie namba zinasemaje.
Baada ya ushindi mnono wa leo wa Simba dhidi ya Pamba, ni rasmi sasa Simba imejihakikishia tiketi ya kucheza mashindano ya CAF ya Klabu...
Ukistaajabu ya Musa utaona ya Labani og.... Semaji la cafu Toka lilambe teuzi pale u-koloni ..... Haijawahi kushika wala kushuhudia kombe lolote likitua pale msimbazi
Je ni laana ni laana ya...
Nimepitia majina ya timu za taifa kwa mataifa yote ya Afrika nikahisi kuwa Tanzania, Ghana na Kenya inabidi tubadilishe majina yatu; neno "stars" linakuwa monontonous. Somalia na South Sudan...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.